BREAKING NEWS: SIMBA IMEMFUKUZA KAZI KOCHA MKUU, LOGARUSIC
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa uongozi wa timu ya Simba umemfukuza Kocha Mkuu wa Simba Bw. Zdravko Logarusic aliyekuwa anainoa timu hiyo.Habari kwa kina inakuijia hivi pundeCHANZO:...
View ArticleMISS ETHIOPIA NDIYE MISS AFRICA USA, JOY KALEMERA AWA WANNE
Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula,...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU AUGUST 11, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleARSENAL YATWAA NGAO YA JAMII BAADA YA KUIFUNGA MAN CITY
Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0.KLABU ya Arsenal imefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa Manchester City mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa...
View ArticleHEMED PHD AFUNGA KAZI KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR
Yusuph Mlela akimwita Hemed PHD kwa ajili ya kyutoa burudani Msanii wa bongo fleva, Hemed PHD akitumbwiza na mmoja wa mashabiki wake kwenye club ya maisha iliyopo jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia...
View ArticleAJIRA KWA WAHITIMU ELIMU YA JUU MWAKA 2014 KUTOKA JESHI LA POLISI
Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi Tanzania linatarajia kuajiri wahitimu wa vyuo vya Elimu ya Juu wa mwaka 2013/2014. Ili kutekeleza azma hii waombaji watajaza kikamilifu na...
View ArticleUNESCO KUPITIA READ INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI KWA...
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph akipolewa na Mwalimu wa Taalum na msimamizi wa Maktaba wa Shule ya wasichana ya Mwedo, Joseph Mangomes alipofika shuleni hapo...
View ArticleKAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI...
Mzee Yusuph (Kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa filamu yake ya Kwanza iitwayo NITADUMU NAE ambapo filamu hiyo imeingia sokoni leo Jumatatu na inasambazwa...
View ArticlePICHA: NDEGE NYINGINE YAANGUKA NA KUUWA WATU 40 IRAN
Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya...
View ArticlePICHA: UCHAFU WAKITHIRI SOKO LA SAMAKI KIVUKONI DAR
Wazoa taka wakiwa kazini katika soko hilo.WATUMIAJI wa soko la samaki la Kivukoni jijini Dar es Salaam wameulalamikia uongozi wa soko hilo kwa kukithiri kwa uchafu kila sehemu ikiwa ni pamoja na...
View ArticleHATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE...
Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi rasmi zawadi zake Wilayani kwake UkereweEluka Kibona kutoka Oxfam akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE AUGUST 12, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKAMATI YA UCHAGUZI: TAMKO RASMI
“Kwa wanaDMV: Inaelekea kumebakia suitafahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV. Tamko hili linaweka wazi...
View ArticleSERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali akiwakaribisha wadau wa maendeleo ofisini kwake Loliondo walioongozwa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph (wa...
View ArticleMUIGIZAJI ROBIN WILLIAMS WA MAREKANI AJIUA
Muigizaji na mchekeshaji maaarufu wa Marekani Robin Williams amejiua. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake California, Marekani Jumatatu (Agosti 11).Imeelezwa kuwa kwa siku za hivi karibuni Williams...
View ArticleWAPAKISTANI WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA WATOROKA NCHINI
Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux.Imeelezwa kwamba Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa wakiwa na Watanzania wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya...
View ArticleMWANALIBENEKE DOTTO KAHINDI NA ELIZABETH NGUMA WAMEREMETA
Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki...
View ArticlePICHA: ABIRIA WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI KUPARAMIA KITUO
Gari aina ya Toyota Raum lenye namba za usajili T483 CMU likiwa eneo la kituo cha mabasi.ABIRIA waliokuwa katika kituo cha mabasi eneo la Quality Plaza jijini Dar wakisubiri usafiri wamenusurika kifo...
View ArticleKIPANYA HAKOSI LA KUSEMA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBI. VAILET MAKAZI WA MTANANA WILAYANI KONGWA AOMBA MSAADA ILI AKAFANYIWE...
Na John Banda,Kongwa.Bi Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha shilingi million mbili (2) ili aweze kufanyiwa upasuaji wa...
View Article