DEREVA TEXI ALIYEPOTEA AKUTWA SHAMBANI AKIWA AMEKUFA
Na John Gagarini, KibahaBAADA ya dereva wa Texi Richard Ponera (36) mkazi wa Mwendapole wilayani Kibaha mkoani Pwani kupotea kwa siku nane amepatikana akiwa ameuwawa na kuporwa gari alilokuwa...
View ArticlePICHA: MAZISHI YA MKE WA AFANDE SELE YAFANYIKA MKOANI MOROGORO
Professor akiwa na Afande Sele Morogoro Professor Jay amesafiri hadi mkoani Morogoro kwenda kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mke wa msanii mwenzake Afande Sele.Kupitia Instagram, Professor ameshare...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA AUGUST 15, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleREDIO ZA KIJAMII ZATAKIWA KUTOA ELIMU KWA JAMII
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akifafanua jambo kwa Diwani wa kata ya Ololosokwani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la RAMAT...
View ArticleTWANGA PEPETA WATOA BURUDANI YA NGUVU KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR
Haji Ramadhani(wa kwanza Kushoto) akicheza na Luiza Mbutu (katikati) pamoja na mwimbaji mwingine kwenye club ya Maisha ya jijini Dar.Waimbaji na wanenguaji wa Twanga Pepeta wakiwapagawisha mashabiki...
View ArticleNJOO UANZE WEEK - END YAKO KWA KUSAKATA RHUMBA NA SKYLIGHT BAND LEO THAI...
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai...
View ArticleSOMA NA SIKILIZA ALICHOKISEME WAZIRI WA AFYA KUHUSU UGONJWA WA EBOLA
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Seif RashidBaada ya kuenea kwa taarifa kuwa kuna watu wawili, mmoja raia wa nje na mwingine Mtanzania kuwa na dalili za ugonjwa wa Ebola, serikali imethibitisha...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPYA 20 IKULU...
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleIN MEMORY OF JUDGE RAPHAEL .B. MAGANGA DIED 16 AUGUST 1986
Dad, it is now 28 yearsthat you departed from us too sudden without bidding farewell to anyone.Since that fateful and dreadful Saturday 16thof August 1986 when you answered God’s call peacefully, a...
View ArticleYATAMBUE MATUMIZI NA FAIDA ZA UBUYU KWA AFYA YAKO
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama...
View ArticleNDEGE YA INDIA ILIYOKUWA NA ABIRIA 280 YASHUKA FUTI 5000 ANGANI BAADA YA...
Mamlaka ya anga nchini India inachunguza tukio la hatari lililotokea Agosti 8, baada ya ndege ya Jet Airways Boeing 777-300 iliposhuka angani kwa zaidi ya futi 5000 (mita 1500) kutoka kwenye urefu...
View ArticleBREAKING NEWS: RAIA NANE WA KIGENI WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA MWL.NYERERE...
Idara ya Uhamiaji Nchini, imewakamata Raia wa nane (8) wa kigeni wakati wakiingia nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Nyerere, wakiwa na pasipoti bandia za kusafiria za Mataifa tofauti...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AUGUST 16, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI AUGUST 16,...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MJINI BUKOBA
Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki(kushoto) ndie alikuwa Mgeni rasmi katika Tamasha la Serengeti fiesta 2014 katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Tamasha limefanyika usiku wa kuamkia...
View ArticleFAHAMU KUTENGENEZA MAFUTA KWA KUTUMIA NAZI PAMOJA NA KAZI 10 ZA MAFUTA HAYO
1. Mafuta ya nazi kwa afya ya Moyo:Mafuta ya nazi yana asidi mhimu sana kwa afya ya moyo iitwayo ‘lauric acid’ ambayo ina uwezo mkubwa kuuweka moyo wako katika hali ya afya na furaha kwa kuidhibiti...
View ArticleMARIA SHILLA ATWAA TAJI LA REDD'S MISS KINONDONI 2014
Miss Maria Shilla aliyetwaa taji la Redd's Miss Kinondoni akiwapungia mkono mashabiki wake kwenye ukumbi wa Escape 1. Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla (katikati), akiwa na furaha baada ya...
View ArticlePICHA: WADAU WETU WAFUNGA NDOA
Bi Ester Nathannaeli akimvisha pete ya ndoa kama ishara ya kujifunga kwake Mumewe Mpendwa Dickson Mwachilengwa huku Askofu Mathayo Timo wa F. P. C. T aliyeifungisha ndoa hiyo iliyofungiwa katika...
View ArticleSUMATRA MKO WAPI?ABIRIA HAWA WAMETESEKA ZAIDI YA MASAA 6 BILA MSAADA
Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6 abiria ambao walikuwa wanaelekea mwanza na gari la princes shabaha wamezidi teseka huku hawajui hatima yao ya safari Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX...
View ArticlePICHA: MANCHESTER UNITED WAKUBALI KICHAPO CHA GOLI 2-1 KUTOKA KWA SWANSEA CITY
Mchezaji wa Swansea City Sung-Yueng Ki akipongezwa na wachezaji wenzake mara baada ya kuiandikia Timu yake ya Swansea Goli la Kwanza katika Mchezo wa Kwanza wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya timu ya...
View Article