Marehemu Asha Msindi enzi za uhai wake
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Afande Sele amepost taarifa ifuatayo kuhusiana nakifo cha mzazi mwenzake aneitwa Asha au Mama Tunda.
Mtandao huu unatoa pole kwa Afande Sele pamoja, mtoto wao na familia nzima kwa ujumla. May her soul R.I.P