KAMERA YETU KWENYE BARABARA MBALIMBALI ZA JIJI LA DAR ES SALAAM
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleGURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI...
Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na VIJIMAMBO aliongelea...
View ArticleMBOTO AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU SALMA JABU "NISHA"
Msanii wa comedy, Mboto afurahishwa na director wake John Lister kumkutanisha na msanii mwenzake wa bongo movie Salma Jabu “Nisha” kwenye filamu moja kwani huwa wanafanya vizuri wakikutana hawa watu na...
View ArticleUKAGUZI WA VITENGO VYA MAWASILIANO SERIKALINI: MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Bw. Assah Mwambene (Kulia) akibadilishana uzoefu na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kushoto) wakati...
View ArticleMAHAKAMA YA KIKATIBA NCHINI UGANDA YAFUTA SHERIA DHIDI YA USHOGA
Baada ya Rais Uganda Yoweri Kaguta Museven kuasaini sheria kali dhidi ya watu wanaojihusisha na ushoga, mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo...
View ArticleGARI AINA YA FORD EXPEDITION V8 INUZWA
MAKER: FORDMODEL: FORD EXPEDITION V8YoM: 2000CC: 5400COLOR: SILVERMAWASILIANO: 0713327106/0756673327ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI MAKER: FORDMODEL: FORD EXPEDITION V8YoM: 2000CC:...
View ArticleMSAADA KWA MZEE HUYU
Mzee Bugode Bulahi akiwa ndani kwake.MZEE mmoja anayejulikana kwa jina la Bugode Bulahi mkazi wa Sogesca wilayani Magu Mkoa wa Mwanza, anaomba msaada kutokana na maisha magumu anayoishi. Mzee huyo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AUGUST 02, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJOSE CHAMELEONE AWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE KWENYE TOUR YAKE ILIYOFANYIKA...
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwapagawisha mashabiki wake kwenye clab ua Maisha jijini Dar es salaam. Burudani hii imefanyika usiku wa kuamkia leo Jumamosi.Msanii wa muziki wa kizazi...
View ArticleWATU 23 WATIWA MBARONI KWA KUKUTWA NA BANGI MKOANI PWANI
JESHI LA POLISI MKOANI PWANI,LINAWASHIKILIA VIJANA 23 WALIOKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA KETE 354 ZA BANGI,PUNI 4,MISOKOTO 8 PAMOJA NA PANGA 1,VISU VINNE NA SIME 3,IKIWA NI KATIKA SEHEMU YA UPEKUZI...
View ArticleKAMERA YETU IKIWA KWENYE MITAA MBALIMBALI YA MJI WA DODOMA
TAZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAJALI YATOKEA ARUSHA BAADA YA BASI LA HOOD KUGONGANA NA DALADALA
Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood linalofanya safari kayi ya Arusha na Mbeya kugongana na daladala katika eneo la Kilala jijini Arusha na kusababisha watu watano kufariki dunia....
View ArticleYALEYALE: ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI ANASWA CHAMAZI
Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama...
View ArticleWIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT),...
Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam....
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI AUGUST 03, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE SHOO YA JOSE CHAMELEONE CLUB MAISHA MJINI DODOMA
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwaburudisha mashabiki wake kwenye club ya Maisha mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo. Mc wa Shoo ya Jose Chameleone, Hyperman HK akizungumza jambo kwenye...
View ArticleAJALI YATOKEA CHALINZE BAADA YA ROLI KUGONGANA NA FUSO NA KUPELEKA FOLENI...
Hili ni roli lililogongana na fuso eneo la Chalinze na kupelekea foleni kubwa eneo hilo Fuso ambalo namba zake hazikufahamika kwa haraka likiondolewa barabarani baada ya kusababisha foleni eneo hilo...
View ArticleDUDE AZUNGUMZIA TAARIFA ZA GARI LAKE KUHUSISHWA NA TUKIO LA UJAMBAZI
Baada ya gari la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ kukamatwa na polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama, amezungumzia nini...
View ArticlePICHA: VILIO NA MACHOZI VYAWATAWALA WACHEZAJI WA TAIFA STARS, MATUMAINI YA...
Mchezaji wa Taifa Stars, Shomari Kapombe akilia kwa uchungu baada ya Stars kupoteza nafasi ya kucheza hatua ya makundi kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Afrika 2015Timu ya soka ya taifa ya Tanzania,...
View ArticleSIKIKA YAKANUSHA TUHUMA ZA MADIWANI, HALMASHAURI KONDOA DODOMA
Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na...
View Article