Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwaburudisha mashabiki wake kwenye club ya Maisha mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Mc wa Shoo ya Jose Chameleone, Hyperman HK akizungumza jambo kwenye shoo hiyo
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Ytony akiwaburudisha mashaki wake kwenye club Maisha ya mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Jose Chameleone akiendelea kutoa burudani
Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa Jose Chameleone