Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MBOTO AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU SALMA JABU "NISHA"

$
0
0

Msanii wa comedy, Mboto afurahishwa na director wake John Lister kumkutanisha na msanii mwenzake wa bongo movie Salma Jabu “Nisha” kwenye filamu moja kwani huwa wanafanya vizuri wakikutana hawa watu na filamu hiyo ya kidume itatoka mwezi wa nane tarehe 21 watazamaji wasikose

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>