MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI MOROGORO
Hili ni gari la Noah lililopata ajali jana usiku wa saa 8 huko Morogoro Mtaa wa Mazimbu reli ya pili likiwa na vijana wanne ambapo mmoja wao kaaga dunia.Hii ni nguzo iliyogongwa na gari hilo mara baada...
View ArticleSHEREHE ZA EID DMV
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28,...
View ArticleMPIGIE KURA MSHIRIKI UMPENDAYE TMT
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: DIAMOND AFANYIWA MAPOKEZI YA NGUVU LEO ASUBUHI ALIPOTOKA MAREKANI
 Diamond Platnumz akionesha tuzo yake aliyoshinda kwa baadhi ya vyombo vya habari na mashabiki waliofika kumlaki,mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi...
View ArticleKALI YA MWAKA: MAKAMU WAZIRI MKUU WA UTURUKI APIGA MARUFUKU WANAWAKE KUCHEKA...
Wanawake nchini Uturuki wanapost picha zao kwenye mitandao ya kijamii zinazowaonesha wakicheka. Kwanini?Kwa mujibu wa makamu waziri mkuu wa Uturuki Bulent Arinc, wanawake hawatakiwi kucheka hadharani....
View ArticleMSIMAMO WA MH. ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA
Jana tarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha PowerBreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 31,2014
   SOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA    Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE...
Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani.Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera...
View ArticleUKAWA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE
Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony...
View ArticlePICHA: JOSE CHAMELEONE AFANYIWA MAPOKEZI YA NGUVU KWENYE UWANJA WA MWALIMU...
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kufanya shoo ya nguvu kwenye Club ya Maisha  jijini Dar leo ijumaa na pia atafanya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA AUGUST 01, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIA WA VIETNAM AKAMATWA NA MZIGO MKUBWA WA MENO YA TEMBO NA KUCHA ZA SIMBA
Jeshi la Polisi linamshikilia  Raia wa Vietnam Dong Van(47) kwa kumkamata akiwa na meno 65 na kucha 447 za Simba kinyume cha sheria vyenye thamani ya Shilingi Milioni 189,420,000.Kamishna Msaidizi wa...
View ArticleBAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI,LEO SKYLIGHT BAND KAMA...
 Digna Mpera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band...
View ArticlePICHA: MILIPUKO YA GASI YAUA ZAIDI YA WATU 22 NCHINI TAIWAN
 Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan. WATU 22 wamefariki dunia huku 270 wakijeruhiwa baada ya milipuko kadhaa iliyosababishwa na kuvuja kwa gasi kutokea katika jiji la Kaohsiung...
View ArticlePICHA NA VIDEO: GARI HILI LINAWEZA KUTUMIKA MIAKA 100 BILA KUONGEZWA MAFUTA
Moja kati ya mambo ambayo mtu wa anayafikiria kabla hajanunua gari ni kiasi cha mafuta kinachotumiwa na gari hilo. Lakini ukiwa na gari hili… unaweza usifikirie kabisa kuhusu mafuta huku ukilitumia...
View ArticleKESI INAYOMKABILI MKURUGENZI WA ZAMANI WA TANESCO,WILLAM MHANDO NA WENZAKE...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imesema itaanza kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA SPACIO - "MOYO WANGU"
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJE, UNALIFAHAMU TATIZO LA FANGASI WA MIGUUNI LINATOKANA NA NINI, NA TATIZO LA...
Fangasi wa miguuni wanaweza kumpata mtu yeyote endapo tu mazingira yafuatayo yatakuwepo:1.Unatembea bila viatu sehemu ambayo ina aina hii ya fangasi.2.Ikiwa miguu iko katika joto na inatoa jasho wakati...
View ArticlePICHA NA VIDEO: INASIKITISHA SANA MAMA AMTUMA MTOTO KWA BABA YAKE KWA...
Hiki ni kisa kilichotokea nchini Kenya na kuripotiwa na NTV, ambapo mwanamke mmoja ambaye ni mama ameamua kumfunga mwanaye kama mzigo na kumtuma kwa baba yake kwa njia ya kifurushi. Mtoto huyo wa kiume...
View Article