JESHI LA POLISI MKOANI PWANI,LINAWASHIKILIA VIJANA 23 WALIOKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA KETE 354 ZA BANGI,PUNI 4,MISOKOTO 8 PAMOJA NA PANGA 1,VISU VINNE NA SIME 3,IKIWA NI KATIKA SEHEMU YA UPEKUZI WA MAGARI YATOKAYO DAR ES SALAAM AMBAPO KATIKA UPEKUZI HUO WATUHUMIWA HAO WALIPATIKANA.
KATI YA WATUHUMIWA HAO 7 WAMESHAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUPATIKANA NA MAKOSA WALIYOKUTWA NAYO NA WENGINE WALIACHIWA BAADA YA KUPATIKANA NA MAKOSAJI HALISI.
KIASI HICHO CHA BANGI KINGEINGIA MWALONI KINGELETA MADHARA MAKUBWA KWA JAMII