Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwapagawisha mashabiki wake kwenye clab ua Maisha jijini Dar es salaam. Burudani hii imefanyika usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Feruz akiwapungiaalipoingia kuimba na Jose Chameleone kwenye ukumbi wa Maisha jijini Dar es Salaam
Jose Chameleoneakiendelea kuwapagawisha mashabiki wake waliofika kwenye Club ya Maisha jijini Dar es Salaam
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Feruz akiwaburudisha mashabiki wake kwenye shoo ya Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone iliyopewa jina la Tubonge Tour.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Ni mwendo wa kudodondosha moja moja
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay akitoa burudani kwa mashabiki wake
Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akimkumbatia Profesa Jay kwa kuoonesha upendo katika moja ya nyimbo walioshirikishana.
Mc wa Shoo ya Jose Chameleone, Hyperman HK akizungumza jambo kwenye shoo hiyo