Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAR OILS KAMPUNI DADA YA MeTL GROUP YAPATA MKOPO WA BILIONI 100 KUTOKA NBC

Afisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mhe Mohammed Dewji (MO), akizungumza kwenye hafla hiyo ya utiliaji saini wa mkopo wa bilioni 100 za kitanzania.Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bi. Mizinga Melu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAGE APATA AJALI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA

Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa, Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM KUHUSU ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA...

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova akimuonyesha mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Askari Feki aliyekamatwa hivi karibuni.Pata habari motomoto kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE AUGUST 05, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 8,2014

    BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE    Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU YAJITOKEZA KUMUAGA MWEKA HAZINA WA MANISPAA YA ILALA MAREHEMU MEDARD...

Pichani ni Watoto wa marehemu Medard Kabikile Stima ambaye alikuwa ni Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala wakiwa wamebeba msalaba pamoja na picha kuongoza kuingiza mwili katika viwanja vya Karimjee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE YUSUPH AINGIA RASMI KWENYE FILAMU NA HII NDIO TRELA YA MUVI YAKE IITWAYO...

Itaanza Kupatikana Kuanzia Jumatatu ya tarehe 11 August 2014 katika Maduka yote Tanzania. Usikose Nakala Yako.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KATAVI ATEMBELEA BANDA LA MBEYA YETU NANE NANE AMWAGA SIFA...

Banda la Mbeya yetu BlogMtoa Maelezo kutoka Tone Multimedia Group kupitia Mtandao wao wa Mbeya yetu Blog Fredy Anthony Njeje wa kwanza kulia akitoa maelezo ya kina kwa   Mkuu wa Mkoa wa  katavi  Mh.Dr...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WATANO (5) MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MADEREVA WAWILI WA BODABODA...

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACPNa: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MAGARI MATATU YAGONGANA ENEO LA IGURUSI

Picha zote na Mbeya yetu Blog Fuatilia hapaPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE NA MUME WAKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA JIJINI ARUSHA

 Pichani juu na chini ni Gari aina ya Toyota Corolla yenye namba za usajili T.589 AZS likiwa limebeba magunia ya madawa ya kulevya aina ya bhangi mara baada ya kukamatwa eneo la Sanawari jijini Arusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UGENI WA BENKI YA MAENDELEO YA CHINA WATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO

 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Uchina, Bw. Jiang Zhigang (Katikati) akiongoza mjadala wakati wa majadiliano na na Uongozi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (Hawapo pichani) juu ya uwezekano wa Benki hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI: KUFANYA KAZI KWENYE OFISI ISIYOKUWA NA MADIRISHA KUNAATHIRI KWA...

Utafiti mpya umebaini kuwa wafanyakazi wanaotumia muda mwingi kwenye ofisi isiyokuwa na madirisha – au kwenye ofisi ambazo hazipati mwanga wa kutosha kutoka nje, hukosa usingizi kwa walau dakika 46...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS AUGUST 07, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA KESI YA UGAIDI WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana baada ya kusomewa mashtaka yanayowakabili. (Picha zote na Francis Dande) Kiongozi wa Jumuiya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND INAKULETEA MKESHA WA NANE NANE NDANI YA ESCAPE ONE USIKU WA LEO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA ANDREA DUMA BABA WA MWANDISHI WA HABARI WA MOblog SINGIDA

Jeneza lililobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrew Duma (92).Katibu mkuu wa makanisa ya Free Pentekoste nchini,Elias Shija, akihubiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CLOUDS FM YAINGIA KWENYE TOP 20 YA RADIO BORA ZA AFRIKA

Kituo cha radio cha Tanzania, Clouds FM kimetajwa kuwa miongoni mwa Radio Bora za Afrika kwa kuingia kwenye orodha ya ‘Top 20 Best Radio Stations In Africa,’ iliyotolewa na mtandao wa Network...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNAKWAMISHWA NA UZALISHAJI NA MATUMIZI MADOGO MNO YA UMEME - RAIS KIKWETE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACHOMWA KISU NA KUFARIKI BAADA YA KUDAI DENI LAKE LA SHILINGI 2000 MKOANI IRINGA

 DENI la Sh 2,000 limesababisha kumaliza uhai wa mpiga debe maarufu wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga baada ya kuchomwa kisu mara mbili katika eneo la mgongoni na...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>