Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

AJALI YATOKEA CHALINZE BAADA YA ROLI KUGONGANA NA FUSO NA KUPELEKA FOLENI KUBWA ENEO HILO

$
0
0
  Hili ni roli lililogongana na fuso eneo la Chalinze na kupelekea foleni kubwa eneo hilo
 Fuso ambalo namba zake hazikufahamika kwa haraka likiondolewa barabarani baada ya kusababisha foleni eneo hilo la Chalinze.
 Wananchi wakishuhudia ajali hiyo kwenye eneo la Chalinze

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Hizi chini ni picha za magari yakiwa kwenye foleni kubwa iliyosababishwa na ajali iliyotokea eneo la Chalinze leo mchana.






Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>