Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: GARI LA MAGEREZA LASHAMBULIWA KWA RISASI NA KUVUNJWA VIOO...

WATU wanaosaidikiwa kuwa majambazi wameshambulia kwa risasi basi la Jeshi la Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali wakiwamo majambazi sugu na kujeruhi askari wawili.Habari za uhakika zimeifikia hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA LIBYA TANZANIA ISMAIL NWAIRAT, AJIUA

Balozi wa Libya nchini Tanzania amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam , John Solombi anasema kuwa balozi huyo kwa jina Ismail Nwairat, alijipiga risasi Jumanne usiku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YATOKEA MAENEO YA BUNJU A JIJINI DAR LEO JIONI

 Uzembe wa madereva ndiyo chnzo cha ajari tanzania ajari hii imetokea Bunju A jijini  Dar-salaam. Dereva wa lori alitaka kulipita gari dogo  lililokuwa mbele yake wakati huo huo gari dogo hilo lilikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA AUDIO: HIVI NI KWELI WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA XXL CHA CLOUDS FM...

Kwa wasikilizaji wengi wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, July 2 itabaki kwenye kumbukumbu zao baada ya kusikia kitu kisicho cha kawaida na ambacho hakijawahi kutokea tangu redio za FM zije Tanzania....

View Article

VIDEO MPYA : NIAMBIE - AMAN PEACE FEAT. PNC & KIWEWE

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF IDD AZINDUA RASMI MAONESHO YA...

 Msafara wa Mgeni rasmi ukiwa unaingia katika Viwanja vya Sabasaba ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake ya Covenant Bi. Sabetha Mwambenja akitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA

Kampuni ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).Kampuni hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO RATIBA YA MECHI ZITAKAZOCHEZWA KWENYE ROBO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JULY 03, 2014

      ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI  Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA MZEE SMALL ASEMA MUME WAKE ALITAKA ATENGENEZE FILAMU YA MWISHO WAKATI...

Mke wa msanii wa vichekesho Mzee Small, Bi Fatuma Saidi amesema marehemu mume wake alikuwa na mpango wa kutoa filamu ya mwisho wakati yupo kitandani.Akizungumza na mtandao huu leo, Bi Fatuma Saidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFARANSA SEAN GARNIER AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA...

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn's John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO YAMEIVA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA NKWABI NG’WANAKILALA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA DODOMA WASHEREHEKEA KUANZA KWA UJENZI WA MRADI WA BARABARA YA DODOMA...

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchmbi (wa nne kutoka kushoto) akiwaongoza wadau waliofika kuadhimisha sherehe za kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA MUZIKI WA SAMBA REGGE NA SARAKASI KUHITIMISHWA KESHO KWENYE UWANJA...

 Mkufunzi wa Ngoma za Samba regge, Manni Spaniol akimwelekeza mmoja wa watoto wanaoshiriki warsha ya fit for life iliyoandaliwa na kituo cha Baba watoto cha Mburahati kwa Jongo, Jijini Dar es Salaam....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARVARD CLUB OF WASHINGTON WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Harvard Club Of Washington, Bi. Caren A. Pauley akiutambulisha umoja wa wanafunzi waliowahi soma Chuo Kikuu cha Harvard waishio Washinton Metro Area kwa Balozi wa Tanzania nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MATENDO YA WANYAMA YENYE KUSTAAJABISHA

 1. SIMBA HUMFUKUZA MNYAMA WAKIWA PARALLEL ILI KUPUNGUZA UMBALI BAINA YAKE NA ANAEMFUKUZA (hapa SIMBA ana akili kuliko BINADAMU na hususani wakati kumfukuza mwizi)2. FISI NDO KIUMBE PEKEE DUNIANI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKUNDI CHA NGOMA CHA RUNGU-KARAGWE CHA TWAA UBINGWA WA MKOA

 Baadhi ya wacheza ngoma wa kikundi cha Rugu kutoka Karagwe mkoani Kagera wakishangilia na kitita cha Shilingi 600,000/=mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Balimi Ngoma Mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: HUU NDIO MWONEKANO WA STUDIO YA CLOUDS FM BAADA YA UGONVI WA...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INDIA YAPUNGUZA TATIZO LA MAJI KWA KUTUMIA ATM ZINAZOTOA MAJI

Kufuatia tatizo kubwa la maji linaloikabili nchi ya India, wanasayansi wameweza kuitumia vizuri teknolojia na kuanzisha ATM zinazotoa maji kama ATM zinazotoa pesa tulizozizoa.Kufuatia teknolojia hiyo,...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>