Uzembe wa madereva ndiyo chnzo cha ajari tanzania ajari hii imetokea Bunju A jijini Dar-salaam. Dereva wa lori alitaka kulipita gari dogo lililokuwa mbele yake wakati huo huo gari dogo hilo lilikuwa linakata kona hiki ndicho kilichotoea. Bahati mzuri akukutokea kifo katika ajali hii.