1. SIMBA HUMFUKUZA MNYAMA WAKIWA PARALLEL ILI KUPUNGUZA UMBALI BAINA YAKE NA ANAEMFUKUZA (hapa SIMBA ana akili kuliko BINADAMU na hususani wakati kumfukuza mwizi)
2. FISI NDO KIUMBE PEKEE DUNIANI MWENYE MAZIWA YENYE 100% CALCIUM, 7BU NI KUWA YY HULA MIFUPA! (hapa napo FISI ana akili kuliko BINADAMU mpenda vilaini, visivo na umuhimu wowote katika mwili!)
3. PANYA YEYE HUUMA NA KUPULIZA (PANYA ana akili kuliko MAFISADI wasiojua kupulizia, daah nimekumbuka IPTL, richmond, UDA, hii nchi hii)
4. TEMBO ndio mnyama ambae namna yake ya kula inamruhusu kupitisha chakula puani, (hapa TEMBO ana akili kuliko binadamu ambao wameupa mdomo kazi ya ziada ambayo nitaitaja baadae nikirudi!)
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
5. TWIGA HULA MAJANI YA JUU KABISA KTK MTI (hapa TWIGA ana akili kuliko MAFATAKI wote duniani wanaokula mpaka vifaranga!)
6. TEMBO HUMKATISHA MWANAE KUNYONYA MARA MTOTO HUYO ANAPOANZA KUOTA PEMBE, ZILE PEMBE HUMUUMIZA MAMAKE WKT WA KUNYONYA! (hapa napo TEMBO ana akili, maduu wa kibongo hawanyonyeshi ili matiti yazidi kusimama straight na kuendelea kuwavutia wanaume!)
7. WANYAMA WOTE HUFANYA TENDO LA NDO KM A REPRODUCTIVE PROCESS (wanyama wana akili, wanajua starehe ziko nyingi, bninadam tendo hilo kn wkt si tu starehe bali ni biashara)
8. TEMBO ANA UWEZO WA KUANGUSHA MITI MIKUBWA HADI MI4 KWA SIKU, LKN HAFANYI HIVO, ANATUNZA MAZINGIRA! (vp binadam hawaishi porini lakini ndo wanaongoza kwa uharibifu wa mazingira, bado tembo ana akili zaidi)