CHUI APANDA BOTI NA KUMSHAMBULIA MVUVI AKIWA NA WATOTO WAKE
Imeripotiwa kuwa chui mwenye hasira na njaa aliingia majini na kupanda boti ya mvuvi aliyetajwa kwa jina la Shushil Manjhi huko Kolkata, India na kuondoka nae.Taarifa zilizoripotiwa na vituo vya nchini...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNE 30, 2014
BOFYA HAPA KWA KUSOMA MAGAZETI ZAIDIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI JUNE 28, 2014
Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California. Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi...
View ArticleMRADI MPYA WA SHUGA UNAOELEKEZA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU KWA VIJANA...
Meneja wa kituo cha Sengerema FM Redio, Ndg. Felician Ncheye, akitoa nasaha za ukaribisho kwa washiriki wa mradi wa SHUGA na mgeni rasmi. Katikati ni Mgeni rasmi Mratibu wa UKIMWI halmashauri ya...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY MWANDISHI MKUU WA MBEYA YETU BLOG JOSEPH MWAISANGO
Mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Joseph Mwaisango******TONE MULTIMEDIA GROUP Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Joseph...
View ArticleYAFAHAMU MATAIFA YA AFRIKA YANAYOTUMIA WANYAMA NA NDEGE KAMA NEMBO YA TAIFA...
TANZANIANchi ya Tanzania inatumia mnyama Twiga kama alama ya taifa/nembo na kwa hiyo analindwa na sheria. Ingawa tangazo la kipekee huweza kutolewa na Rais, huwa kawaida, kuua Twiga kunaweza...
View ArticleBET AWARDS 2014; WATIZAME HAPA WALIOSHINDA TUZO HIZO
Sherehe ya utoaji wa tuzo za ‘BET Awards 2014’ zimefanyika jana (June 29) katika ukumbi wa Nokia Theatre, Los Angeles, Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali. Beyonce ndiye aliyeondoka na tuzo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 1, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUZINDUZI RASMI WA FARIDAS FOUNDATION WAFANA
Mkurugenzi Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya Uzinduzi Rasmi wa Foundation Mshehereshaji wa Shughuli ya uziinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi ENDELEA KUSOMA HABARI HII...
View ArticleKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini...
View ArticlePICHA: HATIMAYE KITUO KIPYA CHA MABASI NANE NANE CHAZINDULIWA LEO KIKIWA NA...
Mabasi yakiwa yamepaki katika kituo kipya cha mabasi Nanenane Hili eneo ambalo kuna Manyasi ni eneo ambalo limetengwa maalum kwa ajili ya kuweka sehemu ya abiria kungojea usafiri au walio na wageni...
View ArticleTUME YA UCHAGUZI YA TAIFA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Tume ya uchaguzi ya Taifa Oigenia Mpanduji akitoa ufafanuzi wa jambo alipokuwa akitoa mada kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma kuhusu, Maandalizi ya Maboresho ya...
View ArticleMWANAFUNZI CHUO KIKUU ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI, KUZIKWA KESHO KILIMANJARO
Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) enzi za uhai wake. Jeneza...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZILIZOCHEZWA KWENYE 16 BORA YA KOMBE LA DUNIA
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JULY 02, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZEI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMH. LOWASSA ASHIRIKI SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOFU MKUU...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu...
View ArticleLORI LA MIZIGO LAPATA AJALI ENEO LA NYOLOLO IRINGA NA KUSABABISHA FOLENI...
Lori hilo likiwa limeziba njia muda huu Abiria wakiwa wanajichimbia njia yao ili waanze kupitaENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Abiria wakiwa wanaendelea kuchimba njia muda huu...
View ArticleSAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)...
Jukwaa likitengenezwa kwaajili ya Washiriki Wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kupanda jukwaani na kuanza kuonyesha vipaji vyao, Onyesho hili ni onyesho la kwanza la kuelekea...
View ArticleMAJAMBAZI YANAYODAIWA KUMUUA SISTA KWA RISASI HADI KUFA, YAKAMATWA
Na MOblog TeamPolisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia Kapuli,Zaidi ya watuhumiwa hao pia watu...
View ArticleUTAFITI: KULALA BILA NGUO NA MWENZI WAKO NI CHANZO CHA UHUSIANO WENYE FURAHA
Kulala bila nguo kuna matokeo chanya katika uhusiano wako, utafiti umebaini.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Cotton USA wapenzi wengi waliodai kulala utupu wamedai kuwa hiyo ni sababu moja wapo ya...
View Article