Ni mwaka mmoja sasa tangu mkali wa Hip Hop Langa afariki dunia kutokana na kuugua.Daima tunakukumbuka kwa mistari yako mahiri na mchango wako wa hali na mali katika kuinua muziki wetu na sanaa kwa ujumla. Siku zote muziki huishi milele,basi umeacha kitu ambacho daima kitaendelea kusikika,PUMZIKA KWA AMANI
↧