$ 0 0 Habari zilizotufikia ni kwamba nyumba ya balozi wa Msumbiji iliyoko maeneno ya Masaki imewaka moto. Habari zinaendelea kutupasha kwamba fire wamefika lakini maji yalikuwa kidogo. Habari zaidi zitawajia hivi punde hapa hapa.Credit JG Blog