Gari lilivyokosea njia na kuingia mtaroni.
GARI dogo lililopata ajali jana lilinaswa na mtandao huu baada ya kupinduka katika Barabara ya Kilwa eneo la Ufundi, jijini Dar es Salaam ambako dereva wake (jina halikujulikana) alinusurika isipokuwa abiria wake (ambaye naye jina halikujulikana) alipata majeraha kidogo.
Polisi wa usalama barabarani wakishughulika eneo la ajali.
Mashuhuda wakiangalia tukio hilo.
PICHA NA GPL