Shimo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Gari la serikali likiwa limekwama kwenye shimo hilo.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Muonekano wa shimo ulivyo.
Vijana wakilisukuma gari hilo.
Ugomvi ulivyoibuka katika kugawana fedha iliyotolewa na mwenye gari lililonasu
Baada ya gari kukwamuliwa na kujitayarisha kuondoka