Kwa wale wote wanaotembelea ukurasa huu tunawaomba kuchangia WATOTO wenye ulemavu Zanzibar. Kwa MTU yoyote mwenye MOYO wa kuchangia Standing Order kwa ACC 63972496. Sote 20.42.76. Jina: Hilmy Shawwal Barclays. Bank £ 1.£2.£3 CHANGIA Uwezo wako kama huna kitu japo MAWAZO yako yanahitajika kuongea na KUWAZA na muhusika. Insha-Aallah M/Mungu atakulipeni kwa imani zenu Ameen.
Pia katika kuchangia Hilmy Disability Charty Organisatin Kampuni ya Usafirishaji wa mizigo kutoka Marekani kwenda Tanzania Global Qaulity Sevice imetoa msaada wa kusafirisha Wheelchair mbili BURE zilizochangiwa na watu hapa Washington DC nchini Marekani kwa msaa wako wasiliana nasi kwa hapa Marekani number 301-728-3977 Aidha Kampuni hii inatoa huduma za safirishaji wa MIZIGO kwa njia ya MELI, wanafuata mzigo popote pale ulipo ulipo na Hapa Marekani Bei zao ni NAFUU.
Wasiliana nasi kwa mambari za simu
(330) 280-7896
(202)290-5227 ( 301)728-3977
Kusikiliza historia fupi ya Bofya hapa