Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu Mhe.Samia Suluhu akiwa anafuatilia mchango wa Mhe.William Lukuvi kwa makini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi akichangia Bungeni Mjini Dodoma leo
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglican Tanzania, Donald Mtetemela akichangia Bungeni mjini Dodoma leo
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Kuga Mziray akichangia Bungeni Mjini Dodoma Aprili 17, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samueli Sitta (wapili kushoto wakizungumza na Beatrice Shellukindo (wapili kulia) na Riziki Lulida (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)