Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KUMBUKUMBU YA MIAKA 6 YA MAREHEMU ANTHONY SAIMON NJEJE

$
0
0
Marehemu Anthony Simon Njeje Enzi za uhai wake 
*******
Ni miaka Sita sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote wa Benki, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. Jina la Bwana Libarikiwe.
AMEN

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>