MAZISHI YA DORICE DANDE MSANGI, DADA WA BLOGGER FRANCIS DANDE
Dorice Dande Msangi enzi za uhai wake. Mtoto wa marehemu, Sauda Msangi (kulia), akiwa na na mama yake mdogo Bea Dande.Mama wa marehemu Theresia Dande wa pili (kushoto), akiwa na baadhi ya waombolezaji...
View ArticleGARI NDOGO YAFUNIKWA NA LORI LA MCHANGA MARA BAADA YA LORI HILO KUPINDUKA...
Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari...
View Article"JINSI YA KUCHEPUKA BILA KUKAMATWA" KITABU HIKI KIPO MADUKANI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHARUSI YA MTOTO WA RAISI WA NIGERIA, WAGENI WAALIKWA WAPEWA IPHONE 5 {GOLD...
Kibongo bongo tumezoea mtu anapotaka kufunga ndoa lazima ipitishwe michango ya kutosha ili kuweza kufanikisha sherehe, na pia mchango wako ndio huwa kiingilio chako yaani bila kuchanga hupati mwaliko....
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE LEO
Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini na aliekuwa kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma,Marehemu Mzee Muhidin Maalim Gurumo wakiwa nyumbani kwake Mabibo (Tabata...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 15, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleVIDEO AND AUDIO : IFC - CRDB BANK SIGNING CEREMONY PROGRAM WASHINGTON DC
Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group (second left), and Mr. Jean Philippe Prosper, IFC Vice President for Sub-Saharan Africa, signing the landmark $75 million loan agreement...
View ArticleTANGAZO KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KUHUSU MATOKEO YA USAILI WA MWEZI...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais-Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Wasailiwa waliofanya usaili kuanzia tarehe 4 hadi 15 Machi, 2014 kwa kada za Kilimo, Mifugo na Uvuvi...
View ArticlePICHA: SIMBA AVAMIA GARI LA WATALII NCHINI NAMIBIA
Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi.Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza...
View ArticleMWANDISHI WA HABARI "THOMAS LIPUKA KOMBA" AZIKWA KIJIJINI KWAO MKILI WILAYANI...
Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya sanduku Marehemu Lipuka kombaBaadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini. ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA...
View ArticleAJALI YATOKEA ENEO LA MAENEO YA NJIA PANDA YA VETA BAADAYA BODABODA KUGONGANA...
DEREVA WA BODABODA AKIWA AMELALA CHINI BAADA YA KUGONGWA NA NDOGO MAENEO NJIA PANDA VETADEREVA BODABODA AKISAIDIWA NA WASAMARIA WEMA KUMUINUA NA KUMPELEKA HOSPITALIENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES: MAJAMBAZI YAVAMIA BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI
Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.Tukio hilo limetokea muda...
View ArticleMISS ILALA 2013 DORIS MOLLEL AKABIDHI VITABU 50 SHULE YA MSINGI PUGU DAR
Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembea shule hiyo ya msingi Pugu jijini Dar es Salaam.Miss Ilala 2013, Doris Mollel ijumaa ya wiki iliyopita alitembelea shule ya...
View ArticleYALIYOJIRI LEO KWENYE BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma, Aprili 15, 2014. Wajumbe wa Bunge...
View ArticleFAMILIA KITCHEN PART GALA 2014 ILIVYOFANA MJINI DODOMA
Mwanamuziki maarufu hapa nchini Shilole akitumbuiza wanawake katika onesho maalum alilo lifanya katika FAMILIA KITCHEN PART GALA 2014 ambapo zaidi ya wanawake 300 walijumuika katika jukwaa na...
View ArticleMAREHEMU MZEE GURUMO AZIKWA KIJIJI CHA MASAKI ALIKOZALIWA
Muigizaji wa filamu, Jacob Stephen na mwenzake Dude wakisaidia kuubeba mwili wa Mzee GurumoMaelfu ya wananchi na watu mbalimbali maarufu wamejitokeza kwenye mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO APRIL 16, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleVIJUE VITU VITANO UNAVYOHITAJI KABLA YA KUANZA BIASHARA
1. Unahitaji bidhaa au huduma nzuri na bora Biashara yoyote haina kitu bila kuwa na bidhaa au huduma. Unahitaji kitu cha kuuza, kama ni bidhaaa halisi, huduma au ushauri. Hivyo unahitaji kutumia muda...
View ArticleMELI YA KOREA KUSINI YAZAMA, ABIRIA 293 HAWAJAPATIKANA
Meli ya Korea Kusini ikizama. Meli hiyo ilikuwa na watu 459 kati ya hao wanafunzi waliokuwa wamepanda meli hiyo walikuwa ni 325 ambayo ni asilimia 95 ya abilia waliokuwa wamepanda meli hiyo wakielekea...
View Article