MAGAZETI YA LEO IJUMAA MAY 12, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa ameongozana na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, wakati wakielekea kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za...
View ArticleMTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF...
Kushoto ni Liban Newa mchezaji wa Golf kutoka Durham, North Carolina akikabidhi vifaa vya mchezo wa golf kwa watoto katika viwanja vya mchezo huo Lugalo jijini Dar ikiwa kama sehemu ya uzinduzi wa...
View ArticleMwanafunzi wa UDOM akutwa na misokoto 826 ya bangi
Jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikilia watu wawili kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi akiwamo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) Nelson Matee (24) ambaye ni mwanafunzi...
View ArticleNape, Kitwanga wageuziwa kibao
Wabunge wawili waliokuwa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano, Nape Nnauye (Mtama) na Charles Kitwanga (Misungwi) jana waligeuziwa kibao, wakidaiwa kukiuka maadili ya uongozi baada ya kuzungumza...
View ArticleTANZIA: MWANDISHI WA BABA WA TAIFA MWL NYERERE AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mwandishi wa baba wa taifa Mwalimu julias Nyerere Paul sozigwa afariki dunia, alipokuwa akipatiwa matibabu kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).Mtoto wa Mzee Sozigwa, Mchungaji...
View ArticleRAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali (hawaonekani pichani) waliohudhuria katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob...
View ArticleBOT yaifungia benki ya jamii ya Mbinga
Benki Kuu ya Tanzania imeamua kuifunga Mbinga Community Bank Plc, kusitisha shughuli zake zote za kibenki na kufuta leseni yake ya biashara ya kibenki kuanzia tarehe 12 Mei, 2016.Aidha Benki Kuu ya...
View ArticleBALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO...
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017. Waziri wa Ardhi,Nyumba...
View ArticleRC wa zamani wa Ruvuma Said Mwambungu afariki dunia leo
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amefariki dunia leo saa nne asubuhi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)Mdogo wa marehemu, Shaibu Mwambungu amesema kaka yake alifariki...
View ArticleKAMPUNI YA TANCOAL YATEKELEZA AGIZO LA SERIKALI
Meneja Udhibiti Ubora wa Makaa ya Mawe wa Kampuni ya Tancoal Energy Tanzania Limited Bw. Bosco Mabena akielezea moja ya majukumu wayafanyayo katika Kitengo cha Udhibiti Ubora wa makaa ya mawe...
View ArticleUJUMBE WA RAIS MSTAAFU MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA KWA VYOMBO VYA HABARI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWaziri Mwakyembe aipongeza Klabu ya Afrika Lyon kwa kuwa Wazalendo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo wakati wa kikao na uongozi wa Klabu ya michezo ya Afrika Lyon katika ukumbi wa Idara ya Habari...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 13, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleMmiliki wa Lucky Vicent afikishwa mahakamani na Kusomewa Mashitaka Matano
Mmiliki wa shule ya Lucky Vicent Arusha Innocent Moshi na Makamu Mkuu wa shule Longino Vicent Nkana jana wamefikishwa Mahakamani na kusomewa makosa matano.Mwendesha mashtaka wa Serikali Rose Sule...
View ArticleTRENI YA ABIRIA YAPATA AJALI MOROGORO
Treni ya abiria imepata ajali usiku saa 5 eneo la Stesheni ya Mazimbu Morogoro ambapo mabehewa manne yameegama na matatu yameacha reli.Ashura Mrisho aliyekuwa anakwenda Tabora amejeruhiwa kwa...
View ArticleMKUU WA MKOA AAGIZA POLISI KUKAGUA MABASI YA WANAFUNZI
Serikali mkoani Kilimanjaro imeagiza jeshi la polisi mkoani hapa, kufanya ukaguzi maalumu wa magari yanayobeba wanafunzi hususani shule binafsi ili kujiridhisha kama yana sifa ya kufanya kazi...
View ArticleMBUNGE AZZA ATEMBELEA ZAHANATI YA SOLWA,AKABIDHI VITANDA VYA KISASA KUNUSURU...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga,Mheshimia Azza Hilal Hamad kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametembelea Zahanati ya Solwa iliyopo katika kijiji cha Solwa,kata ya Solwa,jimbo la Solwa...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 24, MKUTANO WA SABA BUNGE...
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017....
View Article