WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA WADAU WA TASNIA YA KOROSHO
 Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano  Mkuu  wa wadau wa Tasnia  ya Korosho  Nchini ambao umefunguliwa  na Waziri Mkuu  May 13, 2017 katika Ukumbi wa  Chuo cha...
View ArticleMrema: Serikali ya JPM Itafanikia Vita Dhidi ya Dawa za Kulevya
 Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana...
View ArticleSHIRIKA LA AFYA DUNIA LATANGAZA MLIPUKO WA EBOLA DRC
Shirika la Afya Duniania (WHO) limetangaza kuwapo kwa mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).Mtu apataye mmoja amefariki baada ya kupata virusi vya...
View ArticleWANAFUNZI WA LUCKY VICENT WALIOPATA AJALI WAPATA VISA YA KWENDA MAREKANI KWA...
Mbunge wa Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu amesema Ubalozi wa Marekani umetoa hati ya kusafiria (visa) kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi watatu wa Shule ya Lucky Vincent kupata matibabu nchini...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MAY 14, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleAskofu Gwajima akemea wanaoizungumzia nchi vibaya
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewaonya baadhi ya watu wanaoiongelea vibaya nchi akiwataka waache mara moja kwa kuwa wanachochea uvunjifu wa amani.Askofu Gwajima amesema...
View ArticleTFDA yafungia machinjio 26 Dar
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imeyafungia machinjio 26 kati ya 55 jijini hapa katika Manispaa za Ubungo, Kinondoni, Ilala na Temeke.Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo amesema hayo leo akizungumza...
View ArticleKada wa CCM auawa kwa kupigwa risasi Kibiti
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani Kibiti, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga...
View ArticleTCRA yawatahadharisha watumiaji wa kompyuta juu ya shambulio la Kirusi...
Shambulizi la kihalifu mitandaoni lililotendeka kupitia vifaa vinavyoaminika kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri mashirika tofauti duniani.Kampuni ya kulinda uhalifu wa...
View ArticleMO aitaka Simba kumrudishia fedha zake, adai wamekiuka makubaliano ya Mkataba
Mdau mkubwa wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ ameiandikia klabu hiyo barua (demand note) ya kuitaka kumlipa fedha zote za mishahara alizokuwa akiwalipa wachezaji tangu mwaka jana kiasi cha...
View ArticleMBUNGE WA LUSHOTO ATEMBELEA BARABARA YA MOMBO-SONI KUJIONEA ATHARI...
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi,mawe kudondoka barabarani na...
View ArticleBALOZI SEIF AONGOZA DUA MAALUM YA KULIOMBEA AMANI TAIFA
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakisoma Dua maalum ya kuliombea Taifa Amani na Utulivu pamoja na kujiandaa kuukaribishwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani iliyofanyika katika Msiki wa Ijumaa Malindi Mjini...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY 15, 2017
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...
View ArticleWAPALESTINA WAADHIMISHA MIAKA 69 YA NAKBA
 Tarehe 15 ya mwezi huu wa Mei kila mwaka, Wapalestina kote duniani wanaadhimisha kumbukumbu ya kutokea janga(NAKBA) kubwa la kibinadamu la kukaliwa kwa mabavu ardhi yao, huku wenyewe wakifukuzwa na...
View ArticleMBEYA CITY YANOGESHA UMISSETA COPA COCA-COLA MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa michezo ya Umisseta Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mwishoni mwa wiki. Meneja Masoko Msaidizi wa...
View ArticleMTU NA DADA YAKE WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS,...
Teddy na Talkia Tumbi ambao ni mtu na dada yake wamefanya uzinduzi wa studio ya nywele na kuuza shanga na vito (jewelry) iliyopo kwenye mji wa Clemmons, North Carolina nchini Marekani. Studio hiyo...
View ArticleRC WA ARUSHA AONGOZA WANANCHI KUWAAGA WANAFUNZI KWENDA MAREKANI KWA MATIBABU
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo na mmoja wa marubani wa shirika la Samaritan's Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu...
View ArticleMBUNGE WA CCM ATOA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 33 VITUO VYA AFYA...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa msaada wa vifaa tiba ikiwemo vitanda vya kisasa vya kujifungulia,vitanda vya...
View ArticleWabunge wageuzwa ATM kwa kujitakia
Wakati wabunge wakionyesha kukerwa na kugeuzwa ATM majimboni kwao, Katibu wa Spika, Saidi Yakubu amewaeleza kuwa wao ndio chanzo hivyo wakiamua tatizo hilo litakwisha.Yakubu alikuwa akijibu hoja...
View ArticleTIMU ZA DAR ZAJITOKEZA KWA WINGI USHIRIKI MICHUANO YA KIKAPU
Kiongozi wa timu ya mpira wa kikapu ya Weusi Basketball Club ya jijini Dar es Salaam, Mntambo Mngeja (kulia) akipata maelekezo ya juu ya kujiandikisha kutoka kwa mratibu ya michuano ya Sprite Bball...
View Article