Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN

$
0
0
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad Farhangaliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgeni wake  Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na  Mgeni wake  Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Moussa Ahmad Farhang baada ya mazungumzo yao alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
 (Picha na Ikulu)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>