Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakilishi na Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wakabidhi Vifaa Kwa Shughuli...

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza nas Wananchi wa Shehia tatu za Bungi, Ubago na Tunguu wakati wa kukabidhi vifaa kwa ajili ya shehia hizo tatu kwa matumizi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lema ahoji kushikiliwa mmiliki wa shule ya Lucky Vincent

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amehoji sababu za polisi kumshikilia mmiliki wa shule ya Lucky Vincent badala ya trafiki waliokuwa barabarani siku ya ajali iliyoua watu 35.Akiomba mwongozo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MAAFA ZANZIBAR YAKUTANA KUJADILI MVUA ZA MASIKA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kulia akikiongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar akiwa Mwenyekiti Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Wa kwanza kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA...

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. Naibu Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Mussa Ntimizi wa Igalula na Felista Bura wa Viti Maalum, bugeni mjini Dodoma Mei 10, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tenga aula CAF

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Soka Barani Afrika, CAF kimemteua Rais wa heshima wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodgar Tenga kuwa rais wa kamati ya usimamizi wa mfumo wa leseni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR AREJEA NCHINI AKITOKEA DJIBOUTI.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein katikati akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Moahammed Mahmoud mara baada ya kuwasili Zanzibar akitokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MAY 11, 2017

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 /...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif akutana na Gwajima

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameutua mgogoro wa chama che kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima huku kiongozi huyo wa kidini akitangaza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nape Nnauye: Watanzania hawawezi kutuelewa, na Tusipokuwa Makini...

Mbunge wa Mtama, Mh Nape Nnauye amefunguka na kusema hatua mbalimbali zilizochukulia na serikali ikiwepo kubana matumizi, kufukuza wafanyakazi hewa, kuongezeka kwa mapato kama hazita tafsiriliwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AFUNGUA GEREZA LA WANAWAKE MPWAPWA

 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akishirikiana na Viongozi wengine kufungua Gereza  la Wanawake wilayani Mpwapwa  lililojengwa na wataalamu ambao ni askari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu aeleza hali ya sukari nchini kuelekea mwezi wa Ramadhan

Mbunge Jakuh Hashim Ayoub amemuuliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhan na kuna tatizo la sukari huku wananchi wakiwa na uhitaji na kwamba hivi sasa zipo tani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI,JACOB...

 Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma pamoja na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu na wananchi waliofika kumpokea mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MBILI MKUTANO...

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Tulia Ackson akiongoza  kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. Waziri Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA YA MAJI ILI KUPUNGUZA UHABA WA MAJI...

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali Mbalimbali ya Wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.Na Husna SaidiSERIKALI imesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bayport yaikomboa Halmshauri mpya ya Chalinze kwa kuwapatia kompyuta

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri mpya ya Chalinze mkoani Pwani, Edes Lukoa mwenye koti jeusi, akipokea msaada wa kompyuta mbili kutoka kwa Mratibu wa Masoko wa Bayport Fiancial Services, Mercy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BNGENI MJINI DODODA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe, bungeni mjini Dodoma Mei 11, 2017      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo Bungeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara mbalimbali wa nchini pamoja na Afrika ya Kusini wakati aliposhiriki pamoja na Rais wa Afrika Kusini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAWAOMBA WANANCHI KUTOA TAARIFA MAPEMA WAONAPO HITILAFU YA UMEME...

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limewaomba wateja wake na wananchi kwa ujumla kutoa taarifa mapema mara inapotokea hitilafu ya umeme iliyosababishwa na mvua au sababu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TANZANIA AKABIDHIWA GARI LAKE LEO

Mrembo wa Tanzania, Diana Edward amewataka warembo wanaoshiriki katika mashindano ya Miss Tanzania kuwa wavumilivu ili kukabiliana na changamoto mbalimbali za mashindano hayo zinazotokana na matatizo...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>