DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Ujenzi Dr.John Pombe Magufuli Kituo cha BRT kivukoni jijini Dar es salaam leo akiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaamWaziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (aliyekaa kulia) akiwa na...
View ArticleOSTAZ JUMA: WASANII NA WATANGAZAJI WA REDIO NJAA SANA, MTAKUFA, PESA ZANGU...
Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..Hiki...
View ArticleBENKI YA DUNIA YASITISHA MSAADA WA DOLA MILIONI 90 KWA UGANDA
Wakati Facebook, WhatsApp na Instagram ikitishia kuondoa huduma zake nchini Uganda baada ya Rais Yoweri Museveni kuidhinisha sheria mpya inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja, Benki ya dunia nayo...
View ArticleTAZAMA HAPA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO MPYA WA SNURA - USHAHARIBU
Jana tarehe 27 February ilikuwa ni siku rasmi ya msaniii wa muziki wa kizazi kipya, Snura aka Mama wa Majanga kuanza kushoot vipande vya video ya wimbo wake mpya unaoitwa Ushaharibu, miongoni mwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MARCH 01, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleSERIKALI YANUNUA BUNDUKI 500 ZA AK47 KUKABILI UJANGILI
Silaha hizo zimepatikana ikiwa ni takriban wiki mbili tangu Rais Jakaya Kikwete abanwe na vyombo vya habari vya kimataifa akitakiwa kueleza mikakati iliyopo kupambana na ujangili ambao umeharibu sura...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSERIKALI NA HAWA NI WATANZANIA WAPANGIWE HATA MAENEO YA KUDUMU YA KUFANYIA...
Hawa nao wanauza Viatu pande hizi kwa bei nafuu... Wengine wanauza samaki katika eneo ambalo kiafya sio sahihi ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUOFYA HAPA CHINI Wenye kuuza Nguo za ndani katika eneo...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE BUNGE MAALUMU LA KATIBA
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde na mbunge wa Moshi mjini Mhe. Philemon Ndesamburo ambao pia ni wabunge wa bunge maalumu la katiba wakiagana mara baada ya kuahirishwa kwa semina ya kuandaa kanuni...
View ArticleMAMLAKA YA USTAWISHAJI MJI WA DODOMA(CDA) WAFANYA BOMOA BOMOA MKOANI HUMO
Wapita njia wakiangalia Jengo lililokuwa la vyumba vya biashara lililopo barabara ya saba mkabara na Kitemba hotel lililobomolewa jana saa 11 alfajili na Tinga tinga la Mamraka ya ustawishaji mji wa...
View ArticleVURUGU ZATOKEA UWANJA WA TAIFA KWENYE MECHI KATI YA YANGA DHIDI YA AL AHLY
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mashabiki wa timu ya Simba wameanza tena kung'oa viti vya kukalia uwanjani hapa na kuwatupia Mashabini wenzao wa Timu ya Yanga waliofurika kwa wingi uwanjani hapa,kwa...
View ArticleAJALI YATOKEA MWEKA, MOSHI YAHUSISHA DALADALA NA LAND CRUISER
Ajali imehusisha gari ya abiria aina ya hiace inayofanya safari zake kati ya Mweka na moshi mjini na landcruiser VX iliyokuwa imewabeba wanafunzi wa chuo cha usimamizi na uhifadhi wa wanyama pori...
View ArticleMH WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII LAZARO NYALANDU AZINDUA MAGARI YALIONUNULIWA...
Mh Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akitelemka katika moja ya gari ambalo alilizindua kwa ishara ya kuzindua magari mengine yote yatakayotumika kupambana na ujangili. Mh Waziri wa...
View ArticleTUKIO KATIKA PICHA: MUUZA MADAWA YA KULEVYA AKAMATWA NA ZAIDI YA DOLA BILIONI...
Hizi ni pesa ambazo zilikuwa bado hazija hesabiwa na zilikuwa zimekadiliwa kuwa Dola Bilioni 18 na baada ya kuhesabiwa zilifikia zaidi ya Dola Bilioni 22.Katika hali ya kushangaza sana Mtu mmoja...
View ArticleAL AHLY YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1- 0 KUTOKA KWA YANGA
Kikosi cha Yanga Kikosi cha Al Ahly Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo wa Mashindano klabu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MARCH 02, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA NA...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO NA MSIMAMO KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSHY-ROSE AIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUWEZESHA WATANZANIA WAIFAHAMU EAC NA...
Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji (pichani) amerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 ya Wabunge wa EALA nchini Kenya na hicho ndicho alichokisema kwa...
View ArticleMAKANYAGIO YA NG'OMBE YALETA MTAFARUKO WILAYANI CHAMWINO MKOANI DODOMA
Wafugaji wa jamii ya Kisukuma wa kijiji cha Mpwayungu, Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma waliolalamikia kufanyiwa vitendo vya ubaguzi na kudaiwa malipo ya fedha kwa ajili ya makanyagio na uongozi wa...
View ArticleTAZAMA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article