Wapita njia wakiangalia Jengo lililokuwa la vyumba vya biashara lililopo barabara ya saba mkabara na Kitemba hotel lililobomolewa jana saa 11 alfajili na Tinga tinga la Mamraka ya ustawishaji mji wa Dodoma(CDA) chini ya ulinzi mkali wa polisi waliokuwa wamefunga njia kwa masaa kadha mara baada ya jengo hilo kukarabatiwa. Picha na John Banda
Huu ndio mwonekano wa jengo ilo kubomolewa na Mamraka ya ustawishaji mji wa Dodoma (CDA) baada ya kukarabatiwa. Sababu zilizopelekea jengo hili kubomolewa ni kujenga jengo lililochini ya kiwango maana wanataka maeneo yote ya mji wa Dodoma kujengwa maghorofa ili kuimarisha mji huo.
Baadhi ya wafanya biashara wakitoa mali zao kwenye maduka hayo baada ya tinga tinga kumaliza kazi yake.