Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LA KATIBA NGOMA NZITO

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakiingia bungeni mjini Dodoma jana kuhudhuria semina ya kuchangia taarifa ya Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge kuhusu Kanuni. Picha na Silvan Kiwale...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPANYA HAKOSI LA KUSEMA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 28 WAUAWA NCHINI CHINA

 Nchini Uchina, kundi moja la watu waliojihami kwa visu limewauawa takriban watu 28 katika kituo kimoja cha treni kusini magharibi mwa mji wa Kunming. Kituo cha habari cha Xhinua kimesema kuwa zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU AFANYA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA KWA WATOTO ENEO LA...

Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu na pia alikuwa ni jaji wa shindano la kusaka vipaji kwa watoto waliokuwa na umri kuanzia miaka minne(4) mpaka kumi na tano (15) akizungumza na mshiriki wa shindano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU MARCH 03, 2014

Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAPILI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWANINI NI MUHIMU WAKATI MWINGINE KUWA NA MTU WA KUKUSHAURI

Maisha yanavyokwenda unahitaji kuwa mtu mwangalifu na nani yuko karibu yako. Unahitaji mshauri wa mambo yako ya karibu, kama biashara, Maisha kwa ujumla, ndoa, taaluma na hata Kiroho. Kuwa na mshauri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE TISA HAWAJARIPOTI BUNGENI

Wakati wajumbe tisa kati ya 629 wa Bunge Maalumu la Katiba, hawajaonekana bungeni tangu lilipoanza shughuli zake Februari 18, mwaka huu, Ikulu imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete hawezi kuwachukulia hatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUFTI WA TANZANIA AENDA INDIA KWA MATIBABU

Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba ameondoka nchini kuelekea India kwa ajili ya matibabu.Aliongozana na ujumbe wa watu wawili, akiwemo Katibu Mkuu wa Baraza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER CITY WACHUKUA UBINGWA WA CAPITAL ONE

 Klabu ya Manchester City jana wamechukua ubingwa Capital One baada ya kuifunga Sunderland bao 3 kwa 1.Sunderland ndiyo iliyokuwa ya kwanza kupata bao lililofungwa na mshambuliaji wake Fabio Borini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONESHO LA WAPIGA ALA/VYOMBO VYA MUZIKI KUFANYIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM...

Action Music Tanzania inayofuraha ya kukualika kuhudhuria onesho la muziki litakalofanyika siku ya Ijumaa ya tarehe saba mwezi wa tatu (07.03.2014) kwenye idara ya sanaa na sanaa za maonesho (FPA) Chuo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBA ALIWA KILAINI NA CHATU NCHINI AUSTRALIA

 Nyoka huyo alijipinda kwa Mamba na kumbana hadi akafaChatu ameshinda vita vikali dhidi ya Mamba Kaskazini mwa mji wa QueensLand, kupigana na Mamba, kumpinda na kisha kumla.Tukio hilo lilishuhudiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARTOONI YA LEO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE MARCH 04, 2014

Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA SANA: MTOTO MMOJA KATI YA WATOTO MAPACHA WANNE WALIOZALIWA...

 Habari mbaya zilizotufikia ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha wannewaliozaliwa mkoani Mbeya amefariki dunia jana jioni baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUASI WA ZITTO AANZISHA CHAMA

 Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwigamba alisema mchakato wa kuandikisha wanachama mikoani kwa ajili ya kuomba usajili wa kudumu kwa mujibu wa sheria umeshakamilika.PICHA|MAKTABA Chama kipya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA MAZISHI YA MCHEZAJI WA ZAMANI NA MMOJA WA WAANZILISHI WA TIMU YA...

 Mmoja wa watani wa Kabila la Wayao akimpaka unga usoni mtoto wa Kwanza wa kiume Hamisi Abdala Alli, Mzee Abdala Alli alikuwa mmoja wa waanzilishi wa timu ya Majimaji ya Songea wana lizombe,yeye na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAWASHIKILIA WATU AROBAINI NA TANO KWA...

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime - SACPNa. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linashikilia arobaini na tano kwa makosa mbalimbali ya uhalifu katika...

View Article

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBOVU WA MITARO YAPELEKEA MAJI KUJAA KWENYE STENDI YA MWENGE JIJINI DAR ES...

 Hii ni sehemu ya maduka ambayo kwa mbele ya hayo maduka maji yamejaa kutokana na kuziba kwa mitaro ya eneo la stendi ya daladala ya Mwenge jijini Dar es salaam  Sehemu hii kuna mtaro wa maji lakini...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>