Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde na mbunge wa Moshi mjini Mhe. Philemon Ndesamburo ambao pia ni wabunge wa bunge maalumu la katiba wakiagana mara baada ya kuahirishwa kwa semina ya kuandaa kanuni zitakazo tumiwa wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba mjini Dodoma.
Mhe. Ole Sendeka akichangia mswada wa kanuni zitakazo tumika wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba jana jioni.
Mhe. James Mapalala akiwelekeza jambo mjumbe mwenzake kwa kidole wakati wa semina ya kujadili rasimu ya kanuni zitakazo tumika wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba. Picha na Deusdedit Moshi