Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUIBA KANISANI

 Wanachuo wakikagua baadhi ya vitu alivyokutwa navyo Emmanuel. Kijana anayejulikana kwa jina moja la Emmanuel (30), amejikuta akipokea kipigo ‘hevi’ baada ya kukamatwa akiiba katika Chuo cha Theofilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMNA YA KUONGEZA UFANISI KATIKA KUWASILIANA NA WATU

Mawasiliano huchukua zaidi ya asilimia sabini (70%) katika maeneo ya kazi, hivyo unahitaji kuongeza uelewa wako na namna unavyowasiliana na kuchukua taarifa kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAKA WA KATIBA WA CCM HADHARANI

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.PICHA|MAKTABA Waraka huo wa kurasa 22 unaoainisha mambo yenye masilahi kwa chama hicho, unawataka wajumbe wake kuutetea bungeni.Gazeti hili limefanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA TAARIFA KAMILI INAYOHUSU MADIWANI WA CHADEMA KUJIUZULU SHINYANGA

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWAKUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WA MLIMANI CITY MNALIONA HILI; ENEO ZIMA LA MAEGESHO YA MAGARI...

 Hii ni sehemu moja tu ya Mlimani City Mall ambayo kuna mlinzi mmoja tu eneo la kupaki magari hii ni hatari sana kwa wananchi wanaokuja na magari yao eneo hili maana hakuna ulinzi wa kutosha. Hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA...

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS FEBRUARY 27, 2014

Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIMINI MARUFUKU BUNGE LA KATIBA

  Kulingana na kanuni hiyo, upande wa wanaume, pia imeainisha vazi rasmi kwa jinsia hiyo kuwa ni suti ya Kimagharibi, shati na tai, suruali ya aina yoyote isipokuwa suruali aina ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMATANO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVUMILIVU NI SOMO LA MAISHA, UPO TAYARI KUJIFUNZA?

Kuna mtu mmoja alishawahi kusema hivi, “Mwonekano wako ni halisi unapojionyesha wakati wa mambo magumu, huwezi kuwa zaidi ya hivyo katika utu wako”. Ukiendelea kuwahukumu watu wengine kutokana na tabia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI MTAMBO MAALUM WA USIMAMIZI NA UHAKIKI WA...

 Viongozi mbalimbali wakiwa wanamngojea Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwasili Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE KAMPENI ZA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA, IRINGA

 Dk. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrfod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kiwele katika mkutano wa kampeni wa uchaguzo mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 28, 2014

Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ADOLOTEA ANAITAJI MSAADA WA MATIBABU KUTOKA KWA WASAMALIA WEMA

 MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi.Mama Mkubwa wa Mtoto huyo, Salome Kiegu(35) mkazi wa Mtaa wa Maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YATOKEA MKOANI SINGIDA BASI LA BUNDA LAGONGA TRENI,WATU WANNE WAFARIKI...

 Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukiokinasema kuwa watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITU KIMOJA UNACHOTAKIWA KUKISEMA KWENYE BARUA YA KUOMBA KAZI

Barua ya kuomba kazi inaongelea kwa kifupi kuhusu wasifu wako na kukujumuisha kama mtu anayehitajika kwenye kazi furani.Je kuna kitu unaweza kukisema kwenye barua ya kuomba kazi na kikakuhakikishia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUTUMBUKIA CHOONI HUKO TABORA

 Mwili wa mtoto John Mwapwani (4) aliyefariki majira ya  asubuhi baada ya kutumbukia kwenye tundu la choo nyumbani kwao mtaa wa Sikanda kata ya Chemchem eneo la Ally Hassan Mwinyi ndani ya Manispaa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA LEO LA MTAANI KWETU

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>