TASWIRA MBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU KUTOKA BUNGENI LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve...
View ArticleRAIS MUSEVENI AVUNJA UKIMYA KWA MARA YA PILI
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini mswada wenye utata unaotoa adhabu kali kwa watakaopatikana wakishiriki mapenzi ya jinsia moja.Rais Museveni alitia saini mswada huo nyumbani kwake katika...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiingia ukumbini siku ya Jumapili Feb. 23, 2014 kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yaliyofanyika College Park, Maryland na...
View ArticleMRADI WA MAJI WAZOROTESHWA NA MKADARASI KWENYE WILAYA MPYA YA CHEMBA MKOANI...
Tanki la maji ambalo bado ujenzi wake haujakamilika wakati muda aliopewa mkandarasi kutekeleza umeshapita, Mradi huu upo kwenye kijiji cha Kelema Kuu wilayani Chemba, mkoani Dodoma wanaoonekana ni...
View ArticleSASA MAGARI MKOANI DODOMA KUONGOZWA NA TAA ZA BARABARANI
Mafundi wa kampuni ya Makenga Invest LTD ya mkoani Tabara wakifunga taa kwa ajili ya kuongozea madereva wanaendesha vyombo mbalimbali vya moto kwenye barabarani za mjini Dodoma, kwa mjibu wa kampuni...
View ArticleUPDATES: MLIPUKO UNAOZANIWA NI BOMU WATOKEA ENEO LA MKUNAZINI HUKO ZANZIBAR...
Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu kinachozwaniwa ni mripuko katika eneo la Mkunazini, na kuleta mtafaruku na tukio hilo la mripuko katika majira ya mchana, Katika mripuko huo hakuna mtu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE FEBRUARY 25, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleZUNGU LA UNGA LADAKWA NA KILO 5 ZA UNGA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA...
Raia wa Henellic, Alexamdrios Atanasios, amekamatwa maafisa wa usalama wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Jumapili usiku Februari 24, 2014, akiwa na kilo tano za...
View ArticleFAHAMU KWANINI KAZI NZURI INAWEZA KUGEUKA MBAYA
Wakati watu wengi wanasema kazi ni nzuri, ni rahisi kujisahau na kubaki hapo hapo. Ingawa una watu wote na msaada unaohitaji , inawezekana umejenga marafiki na kazi umeshaizoea lakini wengine wetu kama...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMANNE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMJUMBE BUNGE LA KATIBA AFUKUZWA
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Rashid Yussuf Mshenga amefukuzwa uanachama wa Chama cha Wakulima (AFP). Kitendo hicho kimefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Said Soud. Hata hivyo, Mshenga amepinga kitendo...
View ArticleAFTER PARTY YA LADY IN RED YAFANA
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI MAALUM KWA ERIC BAHUNDE
Kijiwe cha Ughaibuni kinamtakia mwenzao Eric Bahunde (shati la njano) afya njema na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka Eric Bahunde amelazwa University of Maryland Medical Center kwa matibabu...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI TOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Aden Rage na Kheri Ameir wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma hadi Ijumaa. Mjumbe wa...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI ZA JAMII INAYOISHI NA MAMBA KAMA MIFUGO YA KAWAIDA
Hii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso. Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.ENDELEA KUTIZAMA...
View ArticleRATIBA YA UZIMAJI WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI
Ndugu wananchi, napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza rasmi mwezi Machi mwaka huu. Awamu hii ya Uzimaji inaanza baada ya...
View ArticleHII NDIO TANZANIA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARY 26, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMANNE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA KATIBA...
Jaji Mkuu Mstaafu Mh. Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa Rasimu ya pili ya Katiba ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Mkurugenzi Mtendaji wa Haki za Binadamu Bi. Helen Simba...
View Article