Viongozi mbalimbali wakiwa wanamngojea Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwasili
Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa amewasili kwa ajili ya uzinduzi Rasmi wa Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu , Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili kwake
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Hili ni eneo maalum ambapo ndipo uzindizi huo ulifanyika
Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akizindua Rasmi Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu kwa kukata utepe ambapo sherehe hizo zilifanyika Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa akiwa katika 'Laptop' kwa ajili ya kubofya ili kuruhusu Rasmi mtambo huo kuanza kufanya kazi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akitoa Maelezo ya kina kwa Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania jinsi Mtambo huo unavyofanya kazi
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza Jambo wakati wa uzinduzi Rasmi wa Mtambo huo.
Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa katikati akiwa ameongozana na na Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia (wa upande wa kushoto) Pamoja na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara (wa upande wa kulia) wakiwa wanaingia katika viwanja vya TCRA kwa ajili ya Sherehe hizo.
Wimbo wa Taifa ukiwa unaimba wakati wa Sherehe hizo.
Meneja Mahusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Inocent Mungy akitoa maelekezo Mbalimbali wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu
Burudani ikiwa inaendelea
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akiwakaribisha wageni waalikwa na kuelezea juu ya Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu , ongezeko la pato linalotokana na mtambo huo, pamoja na malengo ya baadae ya kuboresha huduma za mawasiliano Tanzania
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akikabidhi Mfano wa hundi kwa ajili ya fedha zilizopatikana kutokana na Mtambo huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akikabidhi Baasha inayo onesha uthibitisho wa malipo hayo.
Kaimu Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Injinia Salmin Senga Salmin akitoa maelezo zaidi kuhusu Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa Simu.
Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia akimkaribisha Mgeni Rasmi Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa hotuba yake
Mgeni Rasmi Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, akitoa hotuba yake, katika Hotuba hiyo aliipongeza Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania kwa kazi kubwa wanayo ifanya na kuonesha ni jinsi gani wanarahisisha suala zima la mawasiliano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akizungumza jambo na Rais Dk. Jakaya Kikwete
Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sadick Meck akiwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara wa kati kati pamoja na Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akimshukuru Rais Dk. Jakaya Kikwete kwa Hotuba yake.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara akitoa neno la Shukurani kwa Rais Dk. Jakaya Kikwete kwa kuhudhuria Sherehe hizo za Uzinduzi Rasmi wa Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu
Picha ya Pamoja
Kundi la Mrisho Mpoto
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akiagana na Rais Dk. Jakaya Kikwete
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiagana na Viongozi Mbalimbali
Viongozi Mbalimbali wakiagana
Bendi ya Jeshi la Polisi ikitumbuiza
Bendi ya Mrisho Mpoto ikitumbuiza
Viongozi na wageni waalikwa
Picha zote na Dar es salaam yetu blog/Blogs za Mikoa