Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

AJALI YATOKEA MKOANI SINGIDA BASI LA BUNDA LAGONGA TRENI,WATU WANNE WAFARIKI DUNIA

$
0
0
 Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukiokinasema kuwa watu wanne wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa.Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>