Zainab Buzohera enzi ya uhai wake
Dullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni (1pm-5pm) katika mgahawa wa Tabeer uliopo Langley Park chini ya Mirage Hall anuani ni1401 University Blvd, Hyattsville, MD 20783.
Tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula ili kufanikisha siku hii ambayo ilianzia saa, siku, wiki, mwezi na siku 10 sasa
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na
Idd Sandaly 301 613 5165
Jabir Jongo 240 604 0574
Jasmine Bernett 410 371 9966
Hidaya Mahita 240 271 7799
Catherine Mukami 240 481 0392
Irene Milembe 571 501 0122
Latifa Mzese 240 603 7363
Asante
Jasmine Bernett 410 371 9966
Hidaya Mahita 240 271 7799
Catherine Mukami 240 481 0392
Irene Milembe 571 501 0122
Latifa Mzese 240 603 7363
Asante