$ 0 0 Uongozi wa blog ya Pamoja unakupongeza Blogger Jennifa Livigha wa blog ya ChingaOne kwa kutimiza miaka kadhaa. Mungu akusimamie na akulinde katika kazi zako za kuhabarisha jamii.