MSEKWA, KISUMO WAKOLEZA MOTO
Dar es Salaam. Wakati mjadala wa uteuzi wa mawaziri ukiendelea kupamba moto nchini, makada wakongwe wa CCM, Pius Msekwa na Peter Kisumo wamesema Rais Jakaya Kikwete ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na...
View ArticleMJINI NI BEI YAKO TU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMKUTANO WA UZINDUZI WA MAADHIMISHOYA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana,wakati alipowasili katika...
View ArticleSIMBA YAICHAPA RHINO RANGERS 1-0
Ramadhani Singano 'Mess' (kulia), akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo uliofanyika leo kwenye...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARY 27, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE OPERESHENI PAMOJA DAIMA NGARA NA BUKOBA MJINI
NGARAMwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akihutubia wakazi wa Ngara katika mkutano mkubwa wa Operesheni Pamoja DaimaMamia ya wakazi wa Ngara waliojitokeza katika mkutano wa Operesheni Pamoja Daima...
View ArticleASKARI 96 WA TANAPA WAMALIZA MAFUNZO YA AWALI WAAHIDI KUPAMBANA NA MAJANGIRI
Mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan kijazi akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya kuhifadhi maliasili katika chuo cha wanyama pori cha Mlele mkoani katavi ambao hawapo pichani hapo juzi katika chuo cha...
View ArticlePROIN GROUP OF COMPANIES YAFANYA SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA 2014 NDANI YA...
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Group of Companies Bw Johson Lukaza akiwakaribisha wafanyakazi wa makampuni yaliyo chini ya Proin Group of Companies pamoja na wageni waalikwa katika sherehe ya...
View ArticleNENO LA LEO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMKUU WA POLISI WILAYA (OCD) IRINGA APATA AJALI
Askari wakitazama gari ambalo alikuwa akiendesha OCD Iringa alililopata ajali nalo majira ya saa 10 jioni jumapili walilikuwa wakielekea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM kata ya Nduli...
View ArticleMTUHUMIWA ATUNDIKWA MTINI, ABANIKWA
VITENDO vya uvunjaji wa sheria nchini, vinavyofanywa na baadhi ya wananchi kwa kujichukulia sheria mkononi kuwahukumu watuhumiwa, vimefikia hatua mbaya. Mkazi wa Mjimwema wilayani Mufindi mkoani...
View ArticleTABIA HII ITAISHA LINI?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMICHUANO YA KOMBE LA FA YAINGIA RAUNDI YA TANO, CHELSEA NA MAN CITY USO KWA USO
Michuano ya kombe la FA imeingia raundi ya tano ambapo mechi zote zitachezwa Jumamosi na Jumapili ya tarehe 15 na 16 mwezi pili huku Chelsea na Manchester City zikitazamiwa kuwa na ushindani wa hali ya...
View ArticleTBS WAFANYA OPERESHENI YA KUKAMATA NGUO ZA NDANI KATIKA MASOKO YA MOSHI
Mmoja wa wauzaji wa nguo za mitumba katika soko la Meimoria akiwa amejificha chini ya meza ya kuuzia nguo kukwepa askari polisi pamoja na maofisa wa shirika la viwango Tanzania (TBS) wakati wakifanya...
View ArticleSHUKRANI
Ndugu Max Edmund Kafipa wa Ununio Bahari Beach jijini Dar es Salaam inapenda kutoa shukrani kwa ndugu, jamaa, marafiki wote na wakazi wa Ununio walioshirikiana nae katika msiba hadi mazishi ya mke wake...
View ArticleTAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA KUANZA KURINDIMA FEBRUARI 13 MJINI NGOME...
Picha wa tatu kulia,ni Mwenyekiti wa Bodi ya Sauti za Busara Promotions,Bwa.Simai Mohamed akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi kwenye hoteli ya Southern Sun,jijini dar...
View ArticleVIONGOZI WA KINONDONI MNALIONA HILI
Leo katika katiza katiza zangu za kuhakikisha libeneke la Mtaa kwa Mtaa halilali,nilibahatika kukatiza maeneo ya Kinondoni kwa Manyanya usoni kabisa mwa Jengo la Mwanamboka pembeni ya mataa ya...
View ArticleSERIKALI YASITISHA UTARATIBU WA KUKODISHA WAFANYAKAZI UNAOFANYWA NA BAADHI YA...
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU KUSITISHA UTARATIBU WA KUKODISHA WAFANYAKAZI UNAOFANYWA NA BAADHI YA WAKALA BINAFSI WA HUDUMA ZA AJIRA1. Wizara ya Kazi na Ajira imekua ikipokea malalamiko toka kwa wadau...
View ArticleJE UNAJUA KUWA MTO MSIMBAZI, UKITUMIKA VEMA UTAWEZA KUPUNGUZA FOLENI JIJINI...
Mto Msimbazi ni mto mkubwa sana ambao unaweza kutumika kwa usafiri, moja ya kupunguza adha ya foleni barabarani ni kuutumia mto msimbazi kwa usafiri.kuanzia Salender Bridge, Muhimbili, Jangwani hadi...
View ArticleBUNGE LA KATIBA KIZUNGUMKUTI
Dar es Salaam. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba bado ina upungufu ambao utaathiri utendaji wa Bunge Maalumu, ambalo huenda likaanza Februari 11 mwaka huu, mjini Dodoma.Sheria hiyo Namba 8 ya 2011,...
View Article