Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

ARSENAL KUMSAJILI DRAXLER PAUNDI MILIONI 37

$
0
0
KLABU ya soko Arsenal ya nchini Uingereza,ipo tayari kutoa Pauni Milioni 37 kumnunua Mjerumani ambaye wanaamini atakuwa Robin van Persie mwingine.
Arsenal wanajiandaa kufika bei ya Julian Draxler, mwenye umri wa miaka 20, ambaye ametambulishwa kama mlengwa mkuu kwa Gunners katika usajili wa dirisha dogo baada ya kupita huku na kule kusaka vipaji.
Benchi la Ufundi la Arsene Wenger inaamini Draxler, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Schalke, anaweza kucheza kama mshambuliaji pekee wa kati.
Arsenal wanaamini kuwa Draxler baada ya kusajili katika klabu hiyo ataweza kuzipa pengo la Van Persie na Thierry Henry ambao waliwasili klabu hiyo kama mawinga, lakini baadaye wakawa washambuliaji hatari.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>