Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI, KANDA YA ZIWA WAENDESHA GARI YAO...

 Warembo wakiwasili kambiniENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KWA KUBOFYA HAPA CHINI Warembo wa Kanda ya Ziwa wakiteremka katika gari lao baada ya kuwasili na inaelezwa waliendesha kutoka jijini Mwanza.Na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI SEPTEMBER 14, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI

ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO MKUU WA CHADEMA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY...

 Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiingia ukumbini pamoja na baadhi ya viongozi wa Chadema. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: MAIDANA ACHAPWA KWA MARA YA PILI NA MAYWEATHER

 Floyd Mayweather (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Marcos Maidana.Floyd Mayweather Jr. amemdunda kwa mara nyingine tena bondia wa Argentina, Marcos Maidana katika pambano lililofanyika Alfajiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 3-0 KUTOKA KWA YANGA

 Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanya imeshinda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA MAN UNITED DHIDI YA QPR HAYA HAPA

Baada ya kusubiri takribani mwezi mmoja hatimaye mashabiki wa Man United leo wameonja ushindi wa kwanza kwenye ligi kuu ya England kwenye mechi dhidi ya QPR.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CANADIAN PRIME MINISTER STEPHEN HARPER AND AGA KHAN OPEN THE ISMAILI CENTRE...

PM Harper of Canada and HH the Aga Khan waving to crowds outside the Ismaili Centre, Toronto - AKDN / Zahur Ramji).PM Harper of Canada and HH the Aga Khan at the Ismaili Centre, Toronto -...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU SEPTEMBER 15, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ZIARA RUFIJI‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MATOKEO YOTE YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014

 Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti. MATOKEO YA UCHAGUZI *MWENYEKITI Mh Freeman Mbowe amepata kura 789Mh Ester Matiko amepata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA HEIFER INTERNATIONAL STEVE DENNE NCHINI

Mfugaji wa Heifer International Tanzania Abel Mwakatumbula na mkewe wakiwa na Makamu wa Rais wa shirika hilo.Makamu wa Rais wa Heifer International Steve Denne, Mkurugenzi wa Heifer International...

View Article

TAZAMA HAPA VIDEO ZA NYIMBO MPYA ZA PROFESSOR JAY - KIPI SIJASIKIA & 3 CHAFU

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKIMBILIE KUWA MZAZI YAJUE HAYA MUHIMU KWANZA

1.Maisha yako yatabadilika moja kwa mojaUtajifunza matumizi mazuri ya fedha, ulaji, kuendesha gari kwa hekima, Mahusiano na mpenzi wako yatabadilika (kwa uzuri au ubaya) mtajiona wa tofauti sana. Muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENGO LA GHOROFA MOJA LINAPANGISHWA MKOANI DODOMA, LIPO KATIKATI YA MJI.KWA...

Muonekano wa Jengo hilo ambalo lipo Katikati ya Mji wa Dodoma, lenye Ghorofa moja linakodishwa tunapenda kuwakaribisha Mtu binafsi, makampuni, shirika au taasisi ambayo inataka kufungua ofisi au...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: KWA HALI KAMA HII AJALI ZITAISHA KWELI?

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: BUNGE LA KATIBA LACHAFUKA LEO

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy akiwa bungeni.BUNGE Maalum la Katiba limechafuka wakati wa Majadiliano ya Taarifa za Kamati baada ya Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy kusema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUFANYIKA DAR E...

  Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, Dk.Ambwene Mwakyusa, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu mkutano huo. Kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZUNGU WACHANJA MBUGA PEKUPEKU KATIKATI YA JIJI LA JIJI LA DAR ES SALAAM...

Licha ya kuwepo kwa madimbwi ya maji yaliyochanganyikana na maji taka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam , raia hao wa kigeni ambao hawakufahamika wanatoka taifa gani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA TAARIFA YA KAMISHNA KOVA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA...

 Kamishina Kova akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani).Baadhi ya vitu mbalimbali vilivyokamatwa na jeshi la polisi.ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live