Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HAYA NDIO MATOKEO YOTE YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014

$
0
0
 Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti.


 MATOKEO YA UCHAGUZI 

*MWENYEKITI 
Mh Freeman Mbowe amepata kura 789
Mh Ester Matiko amepata kura 20

*MAKAMU BARA
Prof Abdallah Safari amepata kura 775
Hakuwa na Mpinzani

*MAKAMU ZANZIBAR
Mh Said Issa Mohamed amepata kura 645
Mh Hamad  Yusuph amepata kura 163

 Mhe Freeman Aikael Mbowe Amechaguliwa Tena kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3 ya kura zote. Aliyeshinda nafasi ya Makamu mwenyekiti Bara ni Profesa Abdallah Safari kwa kupata kura 775 sawa a asillimia 95 na nafasi ya Makamu mwenyekiti Zanzibar ameshinda Mh Saidi Issa Mohamedi kwa kupata kura 645 sawa na asilimia 79.

ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI


MATOKEO YA BAWACHA TAIFA

MWENYEKITI BAWACHA
HALIMA JAMES MDEE


MAKAMU MWENYEKITI ( BARA)
HAWA MWAIFUNGA

MAKAMU MWENYEKITI (ZANZIBAR)
HAMIDA ABDALAHA

BARAZA KUU ZANZIBAR
JANETH MEDADI FUSI

BARAZA KUU BARA
JANETH J. MJUNGU
RSTUTA SAID MJOKA
MARIETHA COSMAS CHENYENGE
SUZAN HASHIM KIWANGA

MATOKEO YA BAVICHA TAIFA

MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA
 PASCHAL KATAMBI PATROBAS

MAKAMU M/KITI WA BAVICHA TAIFA (BARA)
• PATRICK SOSOPI KAPURA

MAKAMU M/KITI WA BAVICHA TAIFA (ZANZIBAR)
• ZEUDI MVANO ABDULAHI


WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA TAIFA
1 JAPHET ELIBARIKI MOSHI
2 EDSON JOEL MWEMAELU
3 MASULE SAMSON MASAGA
4 PENINA ERNEST NKYA
5 DANIEL EZEKIEL MSWELO
6 LUTGAR CHEMICHA HAULE
7 ELIZABETH JOSEPH RIZIKI
8 SAMWEL GIBSON SHAMI

WAJUMBE MKUTANO MKUU (ZANZIBAR):
1. ALLY KASSIM ISMAIL
2 SUED RKADHIR ABDULAHIMID
3 HASSAN ABDALAH HAMIS

WAJUMBE WA BARAZA KUU LA CHADEMA (BARA)
1 PASQUINA FERDINAND LUCAS
2 PAMELA SIMON MAASAY
3 JOSEPH LOTH KASAMBALA
4 HELLEN NANGUSU DALALI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>