MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA...
Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI KWENYE UCHAGUZI WA BAWACHA
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza wakati wa mkutano Mkuu wa Baraza la wanawake Chadema taifa uliofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Francis Dande)Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti...
View ArticleWAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikagua shughuli za ufungashaji mahindi na Mtama kwenye magunia tayari kwa kuhifadhiwa kwenye maghalawakati alipotembelea kituo cha NFRA Kanda ya Dodoma....
View ArticleTOVUTI MPYA YA HABARI ZA KIELIMU TANZANIA YAANZISHWA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUNAJUA NI KWANINI NI MUHIMU KUFURAHIA KAZI YAKO NA SIO KUFANYA KAMA...
Nina furaha kupata kitu kisicho cha kawaida mwanzoni; namaanisha kwa nini mtu awe chanya na mwenye nguvu siku zote. Nilipigwa mshangao na shauku kubwa ninapoona watu wana furaha wakati wote.Niimeelewa...
View ArticleBREAKING NEWS: MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA TENA
Sehemu ya Waumini wa Kiislam wakisaidiana kupandisha mpira wa zima moto.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIHabari zilizotufikia ni kwamba Msikiti wa Mtambani uliyopo Kinondoni jijini...
View ArticleBREAKING NEWS: OSCAR HATIANI KWA KUUA BILA KUKUSUDIA
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp kwa bahati mbaya.Akitoa uamuzi wake jaji Thokozile Masipaal alisema kuwa mwanariadha huyo...
View ArticleKMKM YATWAA NGAO YA JAMII-ZANZIBAR
Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi Ngao ya Jamii nahodha wa timu ya KMKM, Khasim Ali baada ya kuifunga Shaba ya Pemba 2-0 katika mchezo...
View ArticlePICHA:HALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA
Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa (Bawacha), wakifungua shampeni kusherehekea ushindi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima Mdee (kushoto) baada ya...
View ArticleSTEVE NYERERE AJIUZULU URAIS BONGO MOVIE UNITY
Aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Nyerere.Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram. Amedai...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WANAOENDA NCHINI MALAWI WAAGWA RASMI.
Baadhi ya waandishi wa habari wanaosafiri kwenda Malawi wakiwa wanamsikiliza Katibu tawala msaidizi wakati wa kuagana. Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya, Leonard Magacha akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 13, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania JUKATA Deusi Kibamba akizungumza na wanahabari jana jijini Dar es salaam juu ya mchakato huo wa katiba mpya.ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMHE. LAZARO NYALANDO, CASSIM MGANGA WAWASILI KUHUDHURIA TAMASHA LA UTALII NA...
Mhe. Lazaro Nyalandu, Waziri wa Maliasili na Utalii akipokewa na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Suleiman Saleh mara tu alipowasili katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwa ajili ya...
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA FIESTA MKOANI SHINYANGA
Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa...
View ArticleMHE. LAZARO NYALANDU AKUTANA NA WADAU WA UTALII NCHINI MAREKANI
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mara tu alipowasili Ubalozini hapo kukutana na Taasisi mbalimbali za...
View ArticleUNATAKA KUFANIKIWA? HAKUNA NJIA YA MKATO KATIKA MAFANIKIO
Je huu ni ukweli kwamba hakuna njia ya mkato kuelekea mafanikio? Inawezekana unasema ‘Awali hujui mambo yanayoendelea na utabakia hivyo hivyo’. Kuna kitu nimeendelea kujifunza kwa watu matajiri...
View ArticleWAATHIRIKA WA MABOMU MBAGALA KUU WAIBUKA WAMLILIA RAIS KIKWETE WAPATE MALIPO...
Waathirika hao hapa wakionesha mabango yenye ujumbe tofauti tofauti. Mwenyekiti wa waathirika wa mabomu wa Mbagala Kuu, Steven Gimonge akionesha daftari lenye majina ya waathirika hao na jinsi malipo...
View ArticleASILIMIA 52 YA WANAWAKE TANZANIA HUTUMIA VIPODOZI VYENYE SUMU
Zaidi ya asilimia 52 ya wanawake hutumia vipodozi vyenye sumu ambavyo huwasababishia matatizo mbalimbali ikiwamo kansa ya ngozi, figo pamoja na kuharibika kwa mimba kwa mama mjamzito. Aidha katika...
View Article