Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiingia ukumbini pamoja na baadhi ya viongozi wa Chadema.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa kwenye mkutano mkuu wa Chadema uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi walioko meza kuu kwenye mkutano mkuu wa Chadema uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwapungia mkono wajumbe wa mkutano mkuu.
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa(kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia kwenye mkutano mkuu wa chama cha Chadema
Meza Kuu ya viongozi wa Chadema kabla ya mkutano kuanza.