$ 0 0 Baada ya kusubiri takribani mwezi mmoja hatimaye mashabiki wa Man United leo wameonja ushindi wa kwanza kwenye ligi kuu ya England kwenye mechi dhidi ya QPR.