Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

STEVE NYERERE AJIUZULU URAIS BONGO MOVIE UNITY

$
0
0
Aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie UnitySteve Nyerere.
Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram. Amedai kuna mpango mbaya dhidi yake hivyo akaona bora ajiengue pasipo kufafanua zaidi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>