Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: DUNIANI KUNA MAMBO TAZAMA HII NYUMBA ILIPOJENGWA

BOFYA HAPA KUTIZAMA PICHA NYINGINEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITAMBUE 'NJIA KUMI ZA HARAKA KUONDOA “STRESS” NA UCHOVU'

1.Pitia picha zako zako  za zamani kidogo,  Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako2.Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII KASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL NA AJ UBAO KUNOGESHA TAMASHA LA UTALII...

Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIFARU CHA JWTZ CHAIPARAMIA NYUMBA MTAANI NA KUSABABISHA VIFO

WATU wawili wamekufa baada ya gari la Kijeshi (Kifaru cha Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ) kupoteza mwelekeo na kuparamia makazi ya watu mkoani Lindi na kupelekea watu wengine saba kujeruhiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA AUAWA AKITUHUMIWA USHIRIKINA MKOANI MBEYA

 Marehemu akipakiwa kwenye gari tayari kumpeleka chumba cha kuhifadhia maiti.Ndugu na jamaa wakishiriki maziko ya marehemu, Gabriel Mwasyebule kijijini kwao ndembo lwangwa.ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS YOWERI MUSEVENI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU MOJA

 Rais wa Uganda Yoweri Museveni akiteremka katika ndege iliyomleta leo jijini dar es Salaam kwa ajili ya  ziara yake ya siku moja nchini Tanzania . Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAGUFULI: KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI KUANZA KAZI KESHO KUTWA

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watendaji mbalimbali hawapo pichani kutoka, Wizara ya Ujenzi, TEMESA na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: MKUTANO WA BAVICHA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS SETEMBER 11, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGNE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANASAYANSI WAGUNDUA MIFUPA YA MNYAMA MKUBWA ZAIDI YA DINOSAUR ALIYEISHI RUKWA

 Wanasayansi wanaochunguza viumbe vilivyoishi zamani (Paleontologists), kutoka chuo kikuu cha Ohio nchini Marekani, wamegundua mnyama mkubwa zaidi kuliko dinosaur aitwaye Rukwatitan bisepultus,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA KUFUZU AFCON

 ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: HIZI NI NJIA HATARISHI ZINAZOTUMIWA NA WANAFUNZI WANAPOKUWA WANAKWENDA...

 Unaweza dhani ni michezo ya watoto ukiona picha hizi, lakini sivyo; Bali ni picha zilizopigwa kuonesha hali halisi ya wanafunzi wanaotumia njia hizi kufika shuleni kwao. Kwa njia nyingine za ajabu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA WA WHEELCHAIR TOKA MAREKANI WA BIBI SCHOLASTICA MHAGAMA ANAYESHI SONGEA

Kuna masamalia mwema ametuma Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76)  mwenye ulemavu wa viungo anayeishi peke yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi.Bibi huyo mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YATAMBUE MAMBO YANAYOWEZA KUMFANYA BOSI WAKO AKUTHAMINI NA KUKUPENDA

Inawezekana ukafikiri ni rahisi bosi wako kupenda unachofanya; ila kuna mambo ya msingi ambayo unatakiwa kufanya ili uthaminiwe na kupendwa.1. Tafuta sababu ya kumpenda na kumheshimu bosi wako.Binadamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA: PISTORIUS HAKUKUSUDIA KUUA HATIMA YAKE KUJULIKANA KESHO

Mwanariadha Oscar Pistorius akilia wakati wa mapitio ya hukumu yake katika Mahakama Kuu jijini Pretoria.JAJI anayetoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha Oscar Pistorius, amesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIMAMIZI WA MAADILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DAR ES SALAAM WAONGEZA...

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam.Na. Aron...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPYAAAA: TAZAMA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WAMEKOSA VYUO TOKA TCU WAPO 12867

BOFYA HAPA CHINI KUTIZAMA MAJINA  HAYOList of Form Six Applicants NOT Selected in First RoundPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBER 12, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, The  Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni almarufu pia kama viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens wenye makao nchi Ujerumani, inatuma salamu na saluti za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATAKA MSAADA ESRF KUONDOA UMASKINI KWENYE UCHUMI UNAOKUA KWA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ESRF, Philemon Luhanjo mara baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro kufungua...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>