Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza wakati wa mkutano Mkuu wa Baraza la wanawake Chadema taifa uliofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Francis Dande)
Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema, Halima Mdee (katikati) akionyesha alama ya ushindi wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake wa Chadema.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akizungumza wakati wa mkutano huo
Bendi ya M4C ikitumbuiza.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza wa Wanawake wa Chadema (Bawacha) wakishangilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe (hayupo pichani), wakati wa mkutano huo.