Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BREAKING NEWS: SIMBA IMEMFUKUZA KAZI KOCHA MKUU, LOGARUSIC

$
0
0
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa uongozi wa timu ya Simba umemfukuza Kocha Mkuu wa Simba  Bw. Zdravko Logarusic aliyekuwa anainoa timu hiyo.

Habari kwa kina inakuijia hivi punde

CHANZO: MWANASPORT

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>