Yusuph Mlela akimwita Hemed PHD kwa ajili ya kyutoa burudani
Msanii wa bongo fleva, Hemed PHD akitumbwiza na mmoja wa mashabiki wake kwenye club ya maisha iliyopo jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo
Hapa ilikuwa ni noma sana maana viuno vilikatwa vya kutisha
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Msanii wa bongo fleva, Hemed PHD akiendelea kuwapagawisha mashabiki wake
MC wa shoo hiyo D 120 akifanya ya kwake
Madansa waitwao Classic wakifanya ya kwao kwenye stage
Madansa wakifanya ya kwao kwenye stage
Msanii wa Bongo Fleva, Iquor Jonior akitoa burudani kw mashabiki wake kwenye club ya maisha ya jijini Dar es Salaam
Jux akiwapagawisha mashabiki
Warebo walishindwa kujizuia baada ya kupanda kwa Jux
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Jux akiimba na M Rap kwenye shoo iliyofanyika Maisha Club ya jijini Dar
M Rap akitoa burudani ndani ya club ya maisha ya jijini dar usiku wa kuamkia leo
Ni mwendo wa kushangweka
Quick Rocka(kulia) akiwa na Jux (kushoto) wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wake kwenye club ya maisha club iliyopo jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Quick Rocka
Msanii wa Bongo fleva, Gelly wa Rhymes akiwapagawisha mashabiki wake kwenye club ya Maisha iliyopo jijini Dar
Msanii wa Bongo fleva, Gelly wa Rhymes aliendelea kuwapa burudani mashabiki wake
Wapenzi wa muziki wa bongo fleva wakifuatilia kinachoendelea
Ni furaha