CHIKU ABWAO; NITAKUWA WA MWISHO KUISALITI CHADEMA
Kwenye mkutano na waandishi wa habari leo, Dodoma Hotel, Mjumbe wa Kamati ya Chama na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Chiku Abwao ametoa kauli nzito akisema atakuwa mtu wa mwisho kusaliti CHADEMA...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WABUNGE WA CHADEMA KUONEKANA DODOMA
Kumekuwepo na madai yanayosambazwa kupitia njia mbalimbali za upashanaji habari kuhusu baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuonekana mjini Dodoma au kujisajili kwa ajili ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA AUGUST 08, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUNAAMBIWA HIVIII:::UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI IPO SKYLIGHT...
Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na...
View ArticleUTAFITI: MTOTO INABIDI ANYONYESHWE NA MAMA KWA DAKIKA 45
WATAALAMU wa masuala ya lishe wamesisitiza mtoto anapaswa kunyonyeshwa kwa dakika 45 bila kukatishwa.Hata hivyo, imeelezwa kutokana na teknolojia za kisasa, akina mama wengi wanakiuka ushauri huo wa...
View ArticleNYUMBA NNE ZA MCHUNGAJI RWAKATARE ZAVUNJWA
Katapila likibomoa moja ya nyumba nne zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatare katika eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam jana.WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Makazi jana imebomoa nyumba nne...
View ArticleTIMU YA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA WAPATA KICHAPO KUTOKA KWA WAPINZANI WAO YANGA
Wachezaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga na Sima wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao katika Tamasha la Matumaini uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kikosi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AUGUST 09, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA...
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ngazi katika Kivuko cha Msanga Mkuu MV Mtwara kwa ajili ya kufanya ukaguzi wake leo mjini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt....
View ArticleDIDIER DROGBA ASTAAFU KUCHEZA SOKA LA KIMATAIF
Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba leo (Agosti 8) ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya Ivory Coast, lakini ataendelea kuichezea timu yake ya Chelsea.Drogba mwenye miaka 36,...
View ArticleBREAKING NEWS: KIBONDE WA CLOUDS FM ATIWA MBARONI LEO
Mtangazani Mahiri wa Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde akipingana na Askari wa Usalama barabarani wakati alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii jijini...
View ArticlePICHA: LORI LA MIZIGO LAPINDUKA ENEO LA KIBAHA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAPENZI WALIODUMU KWA MIAKA 62 WAFARIKI PAMOJA
Don na Maxine Simpson wakiwa hospitaliniAmini Usiamini mapenzi ya kweli bado yapo humu duniani!Kisa kimoja ambacho kimedhibitishia wengi baada ya wapenzi wawili waliooana na kuishi pamoja kwa takriban...
View ArticleNENO LA MTAANI KWETU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: BASI LA 5 ALIANCE LATEKETEA KWA MOTO LEO
Basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua moto asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam. Taarifa ya awali inasema kuwa...
View ArticleBALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwasili kwenye kituo cha kupigia kura katika uchaguzi wa DMV unaoendelea sasa hivi Wheaton, Maryland nchini Ma.rekani hapa mhe. Liberata Mulamula akilakiwa na mgombea...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI AUGUST 10, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDEREVA TEXI ATOWEKA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA
Na John Gagarini,Kibaha.DEREVA wa Texi wa Maili Moja Richard Ponera (36) mkazi wa Mwendapole wilayani Kibaha mkoani Pwani amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukodishwa na watu...
View ArticlePICHA:SIMBA YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 3-0 KUTOKA KWA ZESCO
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa Simba pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi. (Picha na Francis Dande) Kikosi cha...
View ArticleMPYAA: TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI TANZANIA:KUITWA KWENYE USAHILI, ORODHA...
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya kujiunga na Jeshi la...
View Article